Musk apendekeza malipo ya mwezi kwa watumiaji wa X Mmiliki wa mtandao wa X Elon Musk amempendekeza kuwe na malipo ya kila mwezi kwa watumiaji wote wa mtandao huo Teknolojia September 19, 2023 Soma Zaidi
Umoja wa Ulaya washtushwa na idadi ya wakimbizi Italia September 18, 2023 Jamii Umoja wa Ulaya umesema utatoa msaada wa kwa Italia katika kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi
Yanayotarajiwa kuzungumzwa mkutano umoja wa mataifa September 18, 2023 Afya, Jamii, Maafa, Siasa, Uhalifu Mkutano unaowakutanisha viongozi wa nchi mwanachama wa umoja wa mataifa unatarajiwa kuanza rasmi kesho Septemba 19
Wananchi wadai kusitishwa matumizi ya petroli U.S September 18, 2023 Nishati Wananchi mjini New York wameandamana wakimtaka Raisi Joe Biden asitisha matumizi ya mafuta ya petroli nchini Marekani
Kim Jong Un amaliza ziara yake ya siku sita Urusi September 18, 2023 Siasa Raisi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amemaliza ziara yake ya siku sita nchini Urusi na kuanza safari kurejea nchini
Mtoto wa Biden ashtakiwa kwa kutumia dawa za kulevya September 15, 2023 Jamii, Siasa Mtoto wa Rais wa Marekani anayeitwa Hunter Biden anashtakiwa kwa kosa la kununua silaha akiwa ametumia dawa za kulevya
Urusi yawafukuza wanadiplomasia wa Marekani September 15, 2023 Siasa Wizara ya Mambo ya Nje nchini Urusi imetoa siku saba kwa wanadiplomasia wa Marekani kuondoka nchini humo
Sancho aondolewa kikosini mpaka atakapo omba msamaha September 15, 2023 Michezo Kocha wa Manchester United amempa adhabu Jadon Sancho ya kufanya mazoezi na kikosi cha vijana mpaka atakapoomba radhi
Urusi na Korea kushirikiana kijeshi September 14, 2023 Siasa Raisi wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Korea kaskazini Kim Jon Un wamekubaliana na kufikia makubaliano ya kushirikiana kijeshi
Mahakama yaruhusu kutoa mimba Mexico September 7, 2023 Afya, Jamii Mahakama nchini Mexico imeondoa adhabu kwa wanawake wanaotoa mimba na kusema ilikua ni kinyume cha haki
Idadi yaongezeka wenye saratani chini ya miaka 50 September 7, 2023 Afya Takwimu zinaonesha idadi ya wanaokumbwa na saratani kwa umri chini ya miaka 50 imeongeza kwa miongo mitatu
Marekani imemuwekea vikwazo Jenerali Dagalo wa Sudan September 7, 2023 Siasa Marekani imeamua kumuwekea vikwazo Jenerali wa RSF wa Sudan kwa kusababisha mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma