Rwanda yasikitishwa na kitendo cha Ubelgiji Msemaji wa serikali ya Rwanda amesema kwamba uamuzi uliofanywa na Ubelgiji sio mzuri kwa uhusiano baina ya nchi hizo mbili Siasa July 28, 2023 Soma Zaidi
Putin aahidi kutuma nafaka bure kwenda Afrika July 28, 2023 Siasa Raisi wa Urusi Vladimir Putin amesema atatuma nafaka kwenda kwa nchi sita za Afrika bila malipo kuanzia miezi ya
UN yasitisha huduma za kibinadamu Niger July 28, 2023 Siasa Umoja wa Mataifa umesema kuwa utasitisha msaada na huduma za kibinadamu nchini Niger baada ya jeshi la nchi hiyo kumpindu
Mwanamke ahukumiwa kunyongwa Singapore July 27, 2023 Jamii Mwanamke mmoja nchini Singapore ahukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha madawa ya kulevya
Viongozi wa Afrika wagomea mkutano na Urusi July 27, 2023 Siasa Raisi wa Urusi Vladimir Putin amezilaumu NATO na nchi za Magharibi kuwa ndio sababu ya viongozi wa Afrika kutohudhuria mkutano
Watoto 350,000 hukutwa na saratani kila mwaka July 27, 2023 Afya Shirika la Afya duniani WHO limesema kwa kila mwaka watoto 350,000 wanakutwa na ugonjwa wa saratani katika nchi masikini
Mbappe aitolea nje Al-Hilal, ataka kubaki Ulaya July 27, 2023 Michezo Licha ya ofa ya kubwa ya kuvunja rekodi za dunia, nyota wa PSG Kylian Mbappe amekataa kufanya mazungumzo na Al-Hilal
PSG yaruhusu Al-Hilal kuzungumza na Mbappe July 26, 2023 Michezo Klabu ya Paris Saint Germain PSG imeiruhusu klabu ya Al-Hilal kufanya mazungumzo na Kylian Mbappe ili kukamilisha taratibu za kumsajili
Waziri ajiuzulu baada ya kuendesha gari akiwa amelewa July 26, 2023 Jamii, Siasa Waziri wa sheria nchini New Zealand amejiuzulu baada ya kusababisha ajali wakati akiendesha gari huku akiwa amelewa
Bunge la Israel lapiga kura kuipunguzia nguvu mahakama July 25, 2023 Siasa Bunge la Israel limepiga kura kuipunguzia nguvu mahakama na kulifanya Bunge kuwa na uwezo kufanya maamuzi ya mwisho hasa katika
Marekani yawawekea vikwazo maafisa kutoka Mali July 25, 2023 Siasa Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo maafisa wa Jeshi la Mali kwa kosa la kushirikiana na kikundi cha kijeshi cha Wagner
NATO kukutana na Ukraine jumatano July 24, 2023 Siasa Mkutano wa kwanza kati ya NATO na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy unatarajiwa kufanyika siku ya jumatano
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma