ZINAZOVUMA:

Afrika

Bunge la Ghana limepiga kura kuiondoa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa na badala yake iwe ni kifungo cha maisha jera
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa ushauri kwa raia wake kutulia majumbani ili kulinda usalama wao kutokana na hali inayoendelea
Akaunti ya mtandao wa 'Facebook' ya Benki kuu ya Zambia imedukuliwa na watu wasiojulikana na kubadilisha baadhi ya taarifa
Mwanajeshi kutoka Congo anatafutwa kwa kosa la kuwapiga risasi watu 13 wengi wao wakiwa wanawake na watoto
Gharama za usafiri zimepanda mara mbili nchini Malawi huku wasafirishaji hao wakidai kutopata faida kutokana na gharama za mafuta kupanda.

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya