ZINAZOVUMA:

Hizi hapa timu zitakazo kutuna na Azam, Singida na JKU

Droo ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika imechezeshwa...

Share na:

Droo ya CAF ya mechi za awali za Michuano ya Shirikisho Barani Afrika imepangwa leo Julai 25, 2023 na kutangazwa rasmi kwa ratiba kwa zinazoshiriki michuano hiyo.

Kwau upande wa timu zetu kutoka Tanzania JKU ya Zanzibar imepangiwa kucheza dhidi ya Singida Fountain Gate ya Tanzania Bara na mshindi kati yao atakutana na Future Fc ya Misri katika mchezo wa Kwanza kuelekea hatua ya makundi.

Azam Fc itakutana na Bahir Dar City ya Ethiopia na mshindi kati yao atakutana na Club Africain katika mchezo wa Kwanza kuelekea hatua ya Makundi.

Mechi hizo zitachezwa kati ya Agosti 18, 19, na 20 huku mechi za marudiano ni kati ya Agosti 25, 26 na 27.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya