Upinzani Zimbabwe wataka uchaguzi urudiwe Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe amesema ili suluhu ipatikane basi ni lazima uchaguzi urudiwe ili haki itendeke Siasa August 30, 2023 Soma Zaidi
Jeshi latangaza kuiongoza nchi Gabon August 30, 2023 Siasa Mamlaka ya jeshi nchini Gabon imetangaza kumpindua Rais Ali Bongo na kufuta uchaguzi uliomtangaza kama mshindi wa kiti hicho
ECOWAS yasitisha mpango wa kuivamia Niger August 28, 2023 Siasa Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS imesitisha mpango wa kuivamia kijeshi Niger na kujikita zaidi katika mazungumzo
UN yatilia shaka matokeo ya uchaguzi Zimbabwe August 28, 2023 Siasa Kiongozi wa upinzani Zimbabwe ameungana na umoja wa mataifa na kupinga matokeo ya uchaguzi nchini humo na kudai kuwa uchaguzi
Sudan yapanga kumaliza tofauti zao kurejesha amani August 28, 2023 Siasa Baada ya mapigano ya muda mrefu nchini Sudan hatimae kikosi cha RSF kipo tayari kufanya mazungumzo na jeshi la Sudan
Rais Mnangagwa adhinda urais Zimbabwe August 28, 2023 Siasa Raisi wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amefanikiwa kutetea kiti chake cha urais baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu
ECOWAS yaendelee na maandalizi kuivamia Niger August 24, 2023 Maafa, Siasa Jeshi la ECOWAS limeviweka vikosi vyake vya dharula tayari kwa ajili ya kuivamia Niger licha wananchi wa Niger kuandamana kupinga
Zimbabwe kupiga kura leo kuchagua Rais na wabunge August 23, 2023 Siasa Raia wa Zimbabwe wamejitokeza kwa wingi kupiga kura kumchagua Raisi na wabunge ikiwa no uchaguzi wa pili kufanyika nchini humo
‘Tiktok’ na ‘Telegram’ zapigwa marufuku Somalia August 21, 2023 Siasa, Teknolojia Wizara ya Mawasiliano nchini Somalia imeagiza mamlaka inayosimamia intaneti kuzima uwezo wa kuzifikia mitandao ya Tiktok na Telegram
Ramaphosa aziombea nafasi nchi za Afrika kujiunga BRICS August 21, 2023 Siasa Rais Cyril Ramaphosa amesema nchi zaidi ya 20 duniani kote zinahitaji kujiunga na BRICS na yeye anaunga mkono hilo hasa
Niger waandama kuunga mkono uongozi wa kijeshi August 21, 2023 Siasa Wananchi nchini Niger wameandamana wakiishtumu Ufaransa na kulaani vikwazo vilivyowekwa na ECOWAS ili kumrejesha Raisi Bazoum
AngloGold kuhama soko la hisa na makao makuu August 20, 2023 Habari Wanahisa wa AngloGold ashanti waridhia maombi ya kuhama soko la hisa pamoja na kuhamisha makao makuu ya kampuni hiyo ya