Shule yaungua Bukoba Zimamoto mkoani Kagera wamefanikiwa kuzuia Moto usiteketeze shule ya sekondari Istiqama katika manispaa ya Bukoba. Elimu, Jamii, Maafa July 8, 2023 Soma Zaidi
Uhaba wa wataalamu yawa kilio TCAA July 8, 2023 Elimu Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari amesema tatizo la uhaba wa wataalamu katika sekta ya Anga limekua kilio kikubwa.
Makazi ya Israel yanakiuka sheria za kimataifa June 27, 2023 Afya, Elimu, Habari, Jamii, Maafa, Siasa Guterres apinga vikali hatua ya Israel kufanya makazi katika ardhi ya Palestina.
Ubora wa elimu vyuo vikuu wapungua June 2, 2023 Elimu Ubora wa elimu wa vyuo vikuu unatajwa kuwa kwenye hatari kutokana na uhaba wa wahadhiri
Mwandishi nguli Afrika afariki May 31, 2023 Elimu Mwandishi nguli barani Afrika amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
Fursa ya Kiswahili nje ya nchi May 23, 2023 Elimu Balozi 13 za Tanzania nje ya nchi zimetangaza fursa ya kufundisha Kiswahili nje ya nchi
Utafiti wa asili ya binadamu wa kwanza wakosolewa May 18, 2023 Elimu, Jamii Wanasayansi wa Canada na Marekani wamekosoa nadharia kuwa binadamu wa kwanza asili yake ni Africa
Mtaala mpya wa elimu kuibua vipaji May 17, 2023 Elimu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema inaboresha mitaala ya elimu iliyojikita katika utoaji wa ujuzi utakaowawezesha wahitimu kujiajiri
“Kila la kheri kidato cha sita” May 2, 2023 Elimu Wanafunzi wa kidato cha sita wameanza mitihani yao leo Mei 2, 2023 ya kuhitimu elimu ya sekondari
Jokate akabidhi baiskeli 200 kwa wanafunzi. April 25, 2023 Elimu, Jamii Mkuu wa wilaya ya korogwe Mhe Jokate Mwigelo amekabidhi baiskeli 200 kwa wanafunzi wa kike ili kupunguza utoro shuleni.
Serikali kuweka somo la maadili shuleni. April 18, 2023 Elimu, Jamii Serikali imesema itaweka somo la maadili katika mtaala wa elimu ili kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili.
Zaidi ya shule ishirini zachuana Ramadhani Quiz. April 16, 2023 Elimu, Jamii Zaidi ya shule ishirini zachuana katika mashindano ya Ramadhani Quiz yanayoandaliwa na taasisi ya An nahl trust jijini Dar es
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma