Ethiopia yarejesha matumizi ya mitandao Ethiopia imeruhusu matumizi ya mitandao ya kijamii baada ya kuifugia kwa muda wa miezi mitano Jamii, Teknolojia July 19, 2023 Soma Zaidi
Hali ya ‘Twitter’ si shwari July 17, 2023 Teknolojia Mtandao wa twitter umepoteza karibu nusu ya mapato yake ya utangazaji tangu iliponunuliwa na Elon Musk
Apple Kuweka Mabadiliko ya Bei kwenye Programu ya “App Store” kwa Tanzania, Nigeria, Misri, na Uturuki July 13, 2023 Biashara, Habari, Teknolojia Nchi za Tanzania, Misri, Nigeria na Uturuki zimekumbwa na mabadiliko ya bei katika App store kutokana na mabadiliko mbalimbali.
Watumiaji wa ‘Cryptocurrency’ wapo hatarini July 11, 2023 Teknolojia, Uchumi Benki kuu ya Tanzania imesema watumiaji wa sarafu mtandao wapo hatarini sababu kuna mifumo ya kweli na mingine ya uongo.
Bara jipya kupatikana Afrika July 6, 2023 Mazingira, Teknolojia Shirika la Anga la Marekani NASA limeonyesha katika utafiti wake dalili ya kugawanyika mara mbili kwa Bara la Afrika
‘META’ yaja na mtandao mpya kushindana na ‘twitter’ July 6, 2023 Teknolojia Mkurugenzi wa META, Mark Zuckerberg amesema kuna kitu twitter walipaswa kufanya lakini hawakufanya ndio maana ameleta mtandao huu.
Tanzania kuhamia uchumi wa kidijitali July 3, 2023 Habari, Teknolojia, Uchumi Serikali imedhamiria kuhimiza nchi kuelekea katika mfumo wa uchumi wa kidijitali hasa kufanya biashara bila fedha taslimu
Microsoft kulipa faini ya Tsh Bilioni 47 June 7, 2023 Teknolojia Kampuni ya Microsoft italipa faini ya shilingi bilioni 47 kwa kuhifadhi taarifa binafsi za watoto waliojiunga na mchezo wa Xbox
Urusi na Burundi kushirikiana kwenye nishati ya nyuklia May 31, 2023 Teknolojia Urusi na Burundi zimeingia makubaliano ya kushirikiana katika nishati ya nyuklia na kuanzisha mitambo ya atomiki
Bwawa la Nyerere kuanza kazi May 31, 2023 Teknolojia Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema bwawa la Mwalimu Nyerere lipo tayari kuanza kuzalisha umeme
China yatengeneza ndege zake yenyewe May 27, 2023 Teknolojia Shirika la ndege la nchini China limekua shirika la kwanza kutengeneza ndege zake kupitia kampuni ya nchini humo
Kenya yakanusha kudukuliwa na China May 27, 2023 Siasa, Teknolojia Kenya imekanusha kudukuliwa na China kwa miaka mitatu kama ambavyo iliripotiwa na shirika la habari la 'Reuters'
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma