Ikulu ya Chamwino yazinduliwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amezindua rasmi Ikulu ya Chamwino Dodoma jumamosi ya tarehe 20/5/2023 Habari, Siasa July 3, 2023 Soma Zaidi
Tanzania kuhamia uchumi wa kidijitali July 3, 2023 Habari, Teknolojia, Uchumi Serikali imedhamiria kuhimiza nchi kuelekea katika mfumo wa uchumi wa kidijitali hasa kufanya biashara bila fedha taslimu
Wafanyabiashara wazungumza bila uoga mbele ya Waziri Mkuu July 3, 2023 Jamii, Uchumi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itatatua kero zote za wafanyabiashara nchini
Wajumbe Baraza la wawakilishi lamtaka C.A.G kuomba radhi June 8, 2023 Siasa Wajumbe Baraza la wawakilishi Zanzibar limemtaka Mkaguzi na Mdhibiti wa hesabu za serikali kuomba radhi
Ubora wa elimu vyuo vikuu wapungua June 2, 2023 Elimu Ubora wa elimu wa vyuo vikuu unatajwa kuwa kwenye hatari kutokana na uhaba wa wahadhiri
Raisi wa FIFA aipongeza Yanga June 2, 2023 Michezo Raisi wa shirikisho la mpira duniani FIFA aipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania msimu
Ripoti ya CAG Zanzibar kuleta mazito May 31, 2023 Siasa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Raisi wa serikali ya Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi amesema watakaotajwa kwenye ripoti watachukuliwa
Waliyosema serikali kuhusu uraia pacha May 31, 2023 Siasa Suala la uraia Pacha bado halijafikiwa muafaka nchini Tanzania, wapo wanaounga mkono na wapo wanaopinga
Bwawa la Nyerere kuanza kazi May 31, 2023 Teknolojia Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema bwawa la Mwalimu Nyerere lipo tayari kuanza kuzalisha umeme
Nafasi 524 za ajira TRA May 30, 2023 Jamii, Uchumi TRA yamwaga tena nafasi zaidi ya 700 za ajira mwezi juni 2023. Mwisho wa maombi hayo ni tarehe 9 mwezi Juni 2023.
Ummy Mwalimu awapa ‘tano’ Tanesco May 30, 2023 Afya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema uboreshwaji wa huduma za afya zinategemea upatikanaji wa umeme
Waziri Dkt Pindi Chana awajulia hali mashabiki wa yanga May 29, 2023 Michezo Waziri wa Utamaduni Sanaa na michezo amewatembelea kuwajulia hali majeruhi katika maandalizi ya mchezo wa jana
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma