EWURA imesema kuwa Tanzania ina mafuta ya kutosha Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetoa onyo kwa wote wanao hodhi nishati ya mafuta Biashara July 18, 2023 Soma Zaidi
kushindwa kwa demokrasia kunazua migogoro July 17, 2023 Siasa Raisi Samia Suluhu Hassani amesema ikiwa serikali itashindwa kutoa huduma za msingi basi kutaibuka migogoro katika nchi za Afrika
Kuna vyama vipya 18 vya siasa nchini July 17, 2023 Siasa Kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka 2025, mpaka hivi sasa Tanzania ina jumla ya vyama vipya vya siasa 18 vinavyoomba usajili
Maandamano UVCCM yapigwa ‘stop’ July 17, 2023 Biashara, Siasa, Uchumi Jeshi la polisi nchini limepiga marufuku maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika na Umoja wa vijana wa CCM
Raisi wa Hungary kuwasili Leo nchini Tanzania July 17, 2023 Siasa Raisi wa kwanza mwanamke nchini Hungary anatarajia kufanya ziara nchini Tanzania na kukutana na Raisi Samia
Tanzania imepokea makampuni zaidi ya 20 July 15, 2023 Uchumi, Utalii Tanzania imepokea makampuni zaidi ya 20 kutoka mataifa mbalimbali kwa ajili ya uwekezaji katika biashara ya hewa ya kaboni yenye
Samia amewataka Watanzania kuchangamkia fursa July 15, 2023 Siasa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani amewataka Watanzania kuchangamkia fursa
FIFA yaiondolea adhabu kitayosce July 14, 2023 Michezo Shirikisho la mpira duniani FIFA limeiondolea adhabu klabu ya mpira wa miguu ya kitayosce baada ya kumlipa kocha
Nchi Tano kutokomeza ukimwi kufikia 2030 July 14, 2023 Afya Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi 5 ambazo zipo kwenye mpango wa kutokomeza virusi vya ukimwi kufikia 2030
Njia ya Tanzania kufuzu kombe la dunia 2026 July 14, 2023 Michezo Ndroo ya makundi kufuzu kombe la dunia imechezeshwa na Tanzania imepangiwa kundi moja na timu za;
Necta Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita 2023: Ufaulu wa Jumla Waongezeka July 14, 2023 Elimu Baraza la mitihani Tanzania Necta limetangaza matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2023 huku ufaulu ukiongezeka kwa 0.26
Fountain Gate na kitayosce wapigwa nyundo na FIFA July 12, 2023 Michezo Timu ya kitayosce ya ligi kuu pamoja na timu ya Fountain gate ya 'championship' zimefungiwa kufanya usajili na FIFA
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma