Mkosoaji wa Putin ahamishiwa gereza lenye ulinzi mkali Mkosoaji mkubwa wa Rais wa Urusi Vladimir Putin amehamishwa na kupelekwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali zaidi Siasa September 25, 2023 Soma Zaidi
Ufaransa kuondoa wanajeshi wake Niger September 25, 2023 Siasa Raisi wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema nchi yake itaondoa wanajeshi wake na Balozi wake nchi Niger mwishoni mwa mwaka huu
IIT MADRAS: Tumeitwa na Uigereza September 23, 2023 Elimu Chuo cha IIT kimepata mualiko wa kuanzisha tawi lake nchini Uingereza, baada ya kuanzishwa kwa matawi ya nje ya India
Tshisekedi aunda njama kumpindua Kagame September 22, 2023 Siasa Jarida la News times la nchini Rwanda linamshutumu Raisi wa Congo Felix Tshisekedi kwa kuunda njama za kumpindua Rais Kagame
Amani itapatikana ikiwa Palestina itapewa haki zake September 22, 2023 Siasa Kiongozi wa Palestina ameuambiwa umoja wa mataifa kuwa amani haiwezi kupatikana Mashariki ya Kati ikiwa Palestina haijapewa haki zake
Demokrasia ya Magharibi haifanyi kazi Afrika September 22, 2023 Siasa Kiongozi wa kijeshi kutoka Guinea amesema nchi za Magharibi ziache kuingilia demokrasia ya Afrika kwani hazifanani
Marekani na Afrika Kusini kuanza chanjo ya Ukimwi September 22, 2023 Afya Marekani na Afrika Kusini zitakua nchi za kwanza katika kufanya majaribio ya chanjo mpya ya Ukimwi
IRAN: Marekani anachochea vita Ukraine na imejaribu kunipindua September 20, 2023 Habari, Siasa Raisi wa Iran ashutumu Marekani kwa uchochezi kwenye vita vya Ukraine, na majaribio ya kutaka kumpindua madarakani kupitia hotuba yake
Ten Hag kukikosa kikosi cha kwanza dhidi ya Bayern September 20, 2023 Michezo Kocha wa Manchester United amesema kuwa hajawahi kukitumia kikosi chake cha kwanza cha timu hiyo
kisa mapinduzi Gabon yaondolewa Jumuiya ya Madola September 20, 2023 Siasa Jumuiya ya Madola imeiondoa nchi ya Gabon kwa muda kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyaka na kuitaka irejeshe demokrasia
Zelenskiy ataka dunia iungane dhidi ya Urusi September 20, 2023 Siasa Raisi wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ameitaka dunia kuungana ili kumzuia Urusi ambae amekuwa akiivamia Ukraine
Rais wa Ukraine apewa nafasi kuhutubia mkutano wa UN September 19, 2023 Siasa Raisi wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy atapata nafasi ya kuhutubia kuhusu uvamizi wa Urusi nchini kwake katika mkutano wa umoja wa
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma