Messi atambulishwa rasmi Miami Lionel Messi rasmi sasa atambulishwa katika klabu yake mpya ya Miami ya nchini Marekani akiitumikia mpaka 2025 Michezo July 17, 2023 Soma Zaidi
Hali ya ‘Twitter’ si shwari July 17, 2023 Teknolojia Mtandao wa twitter umepoteza karibu nusu ya mapato yake ya utangazaji tangu iliponunuliwa na Elon Musk
Zelenskiy akasirishwa na maamuzi ya NATO July 12, 2023 Siasa Raisi wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekasirika kwa hatua ya NATO kutokubali moja kwa moja Ukraine kujiunga umoja huo
Boti yenye zaidi ya wahamiaji 200 yapotea July 10, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya watu 200 waliokuwa kwenye mashua wakitokea nchini Senegali hawaonekani walipo kwa zaidi ya wiki sasa.
Erdogan aunga mkono Ukraine kujiunga NATO July 8, 2023 Siasa Raisi wa Uturuki Recep Erdogan ameunga mkono Ukraine kujiunga na umoja wa nchi za Ulaya NATO
‘META’ yaja na mtandao mpya kushindana na ‘twitter’ July 6, 2023 Teknolojia Mkurugenzi wa META, Mark Zuckerberg amesema kuna kitu twitter walipaswa kufanya lakini hawakufanya ndio maana ameleta mtandao huu.
UN yaitaka Ufaransa kubadili mfumo wa polisi July 6, 2023 Siasa, Uhalifu Umoja wa mataifa na mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameitaka Ufaransa kufanya mageuzi katika idara yake ya
Marekani na Urusi kubadilishana wafungwa July 5, 2023 Siasa Urusi na Marekani zinajadiliana kuhusu kubadilishana wafungwa ambao kila nchi imemshikilia raia wa mwenzie.
Marekani yampongeza Raisi wa Senegali July 5, 2023 Siasa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amempongeza raisi wa Senegal baada ya kutangaza kuwa hatogombea tena
Biden ajiandaa kuhudhuria mkutano wa NATO July 3, 2023 Siasa Raisi wa marekani ajiandaa na ziara ya siku tano ndani ya mataifa makubwa barani Ulaya pamoja na kuhudhuria mkutano wa
Marekani yawawekea vikwazo vipya Urusi July 3, 2023 Siasa Marekani yaiwekea vikwazo vipya Urusi ambavyo vitawasilishwa katika mkutano wa mataifa ya G7 nchini Japan
Mfalme Charles III kutawazwa leo July 3, 2023 Jamii, Siasa Mfalme Charles III hatimae atatawazwa rasmi yeye pamoja na mkewe Camilla kisha kuvishwa taji kama Mfalme wa 40
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma