ZINAZOVUMA:

Mbape hana mpango na Real Madrid.

Staa wa PSG Kylian Mbape amesema hana mpango wa kuondoka...

Share na:

Kutokea kwenye Jiji la Paris,Ufaransa Mshambuliaji wa Psg Kylian Mbappe ameweka wazi kwamba hana mpango wa kuondoka Klabuni hapo mwisho wa msimu huu licha ya kuhusishwa na Real Madrid.
.
“Hatua inayofuata ni kubeba ubingwa wa Ligi Mabingwa Ulaya, tulishafika fainali, robo fainali, nusu fainali, hadi raundi ya 16 bora, nimefanya kila jitihada tushinde, ubingwa tu ndio nataka kwasasa, kuhusu wapi nitacheza? Basi ni Paris pekee, mimi ni mchezaji halali wa PSG,” alisema Mbappe.
.
Taarifa ziliripoti mwaka huu Mbappe alizinguana na wachezaji wenzake kwenye chumba cha kubadilishia nguo, kwa kile kilichodaiwa staa huyo anataka kujiona mkubwa zaidi ya klabu.

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya