Mtandao wa ‘Twitter’ kuja na muonekano mpya Mtandao wa twitter umetangaza kuja na muonekano mpya ambao utakuja na jina jipya la mtandao huo Biashara, Teknolojia July 24, 2023 Soma Zaidi
BRICS yapanga kuishusha dola July 21, 2023 Biashara, Siasa, Uchumi Umoja wa nchi za BRICS umepanga kuja na sarafu mpya ambayo itashindana na dola katika biashara za kimataifa
UN yazitaka nchi wanachama kuilinda amani July 21, 2023 Siasa Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Gutierrez amesema kuwa vita ya Urusi na Ukraine imefanya iwe ngumu kutatua migogoro
Iraq imemfukuza Balozi wa Sweden nchini kwake July 21, 2023 Jamii, Siasa Iraq imemfukuza Balozi wa Sweden nchini kwake kufuatia maandamano ya raia wa Sweden kupanga kuichoma Quran mjini Stockholm
Risasi zasikika saa chache kabla ya ufunguzi wa kombe la dunia July 20, 2023 Jamii, Michezo Saa chache kabla ya ufunguzi wa kombe la dunia la wanawake nchini New Zealand kumetokea shambulio la risasi na wawili
Putin ahofia kwenda Afrika Kusini July 20, 2023 Siasa Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema kuwa Raisi wa Urusi, Putin hatohudhuria mkutano wa BRICS badala yake atatuma muwakilishi
Azuiliwa kugombea Uwaziri Mkuu Thailand July 19, 2023 Siasa Mahakama nchini Thailand imemzuia kugombea na kumsimamisha wadhiwa wake Pita Limjaoroenrant
Afrika Kusini inabinafsisha bandari yake July 19, 2023 Biashara, Uchumi Afrika Kusini inabinafsisha bandari yake ya Durban upande wa makontena kwa lengo la kuboresha shughuli na kuongeza ufanisi
Raisi Ramaphosa ahofia vita na Putin July 19, 2023 Siasa Ramaphosa ahofia kumkamata Raisi wa Urusi Vladimir Putin, inaweza tafsiriwa kama tangazo la vita dhidi ya Urusi
Putin aahidi kulipa kisasi baada ya shambulio la Crimea July 18, 2023 Maafa, Siasa, Uhalifu Raisi wa Urusi Vladimir Putin ameahidi kulipiza kisasi kwa Ukraine baada ya shambulio jipya la ndege zisizo na rubani
India na UAE zakubaliana kutumia sarafu moja July 18, 2023 Biashara, Uchumi India na Umoja wa Falme za Kiarabu zimekubaliana kufanya biashara kwa kutumia sarafu ya India badala ya dola
Tunisia na Umoja wa Ulaya wakubaliana kudhibiti uhamiaji haramu July 17, 2023 Jamii, Uchumi Umoja wa Ulaya umesaini makubaliano ya kimkakati ya kumsadia Tunisia kupambana na usafirishaji wa binadamu
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma