ZINAZOVUMA:

Afrika

Nchi mbalimbali Afrika na nje ya Afrika zimeanza utaratibu wa kuwaondoa raia wao katika nchi ya Sudan ili kulinda usalama wao.
Raisi wa Rwanda Paul Kagame amesema nchi ya Urusi ina haki ya kuwa popote barani Afrika.
AU yatoa wito kwa Sudan kusitisha mapigano na kutafuta suluhisho la amani kwa haraka na kuheshimu matakwa ya raia.
Waasi wa M23 wasalimu amri katika Jimbo la Nord Kivu mashariki ya nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mshiriki kutoka Misri ameibuka mshindi katika mashindano makubwa barani Afrika ya kuhifadhisha Quran yanayoandaliwa na taasisi ya Al Hikma Foundation
Muhalifu aliyetoroka nchini Afrika kusini amekamatwa Tanzania na anatarajiwa kurudishwa nchini kwake ili kuendelea kutumikia hukumu yake.
Msafara wa wasuluhishi amani wa umoja wa Afrika umeshambuliwa katika mji mkuu wa Mogadishu nchini Somalia na kundi la kigaidi.
Viongozi nchini Senegal wameshauriana na kuamua kusitisha maandamano yaliyotarajiwa kufanyika hii leo tarehe 3 Machi.
Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Freddy imeongezeka na kufikia 99 upande wa Malawi na kufikia 10 kwa upande

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya