ZINAZOVUMA:

Idadi ya vifo yaongezeka Malawi.

Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Freddy imeongezeka na...

Share na:

muendelezo ……….

Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Freddy imeongezeka na kufikia 99 upande wa Malawi na kufikia 10 kwa upande wa msumbiji huku watu 16 kwa Malawi wakiwa hawajulikani wapi walipo..

Zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali wakati zaidi ya watu 1350 wameathirika.

Hali inazidi kuwa mbaya kutokana na kimbunga Freddy ambacho kinaendelea kuzishambulia nchi za Malawi na Msumbiji.

Endelea Kusoma

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya