Hali ya Nigeria yamchanganya Raisi Tinubu Raisi wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza hatua za kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha nchini humo Jamii, Kilimo, Maafa, Uchumi August 1, 2023 Soma Zaidi
Mgogoro Niger, Ufaransa yaonywa August 1, 2023 Siasa Burkina Faso pamoja na Mali zimetoa onyo kwa Ufaransa kutoingilia yale yanayoendelea nchini Niger la sivyo watakua wametangaza vita
Mwanasiasa nchini Senegal ameweka mgomo wa kutokula July 31, 2023 Siasa Mwanasiasa wa upinzani nchini Senegal ameweka mgomo wa kutokula akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa
ECOWAS yaiwekea vikwazo Niger July 31, 2023 Maafa, Siasa Jumuiya ya umoja wa nchi za Magharibi ECOWAS umelipa wiki moja jeshi la Niger kuhakikisha linarudisha madaraka kwa Rais wa
Mahakama Zimbabwe yawafuta wagombe 12 kushiriki uchaguzi July 28, 2023 Siasa Mahakama Kuu nchini Zimbabwe imewaondoa wagombea 12 kushiriki uchaguzi kutoka chama kikuu cha upinzani nchini humo
Serikali ya DRC yaishutumu Rwanda kwa uvamizi mpakani July 28, 2023 Maafa, Siasa, Uhalifu Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imelishutumu jeshi la Rwanda kwa kuvuka mpaka na kuvamia ardhi yake
Miili 901 yakutwa pwani ya Tunisia July 27, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya miili 901 imekutwa katika pwani ya Tunisia ya wahamiaji wakijaribu kuvuka kuelekea nchini Italia
Jeshi lachukua madaraka nchini Niger July 27, 2023 Siasa Wanajeshi nchini Niger wametangaza kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo baada ya kushindwa kutawala vizuri
Ni ngumu kulikomboa Bara la Afrika kama yasipofanyika haya July 26, 2023 Siasa Raisi Samia Suluhu Hassani amesema ni ngumu kulikomboa Bara la Afrika kama ikiwa hatutawekeza kwenye rasilimali watu
Ghana yaondoa adhabu ya kunyongwa July 26, 2023 Jamii, Siasa Bunge la Ghana limepiga kura kuiondoa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa na badala yake iwe ni kifungo cha maisha jera
Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kwa raia wake waliopo Kenya July 26, 2023 Siasa Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa ushauri kwa raia wake kutulia majumbani ili kulinda usalama wao kutokana na hali inayoendelea
Mali yakiondoa kifaransa kama lugha rasmi July 26, 2023 Jamii, Siasa Mali imefanya mabadiliko na kukiondoa kifaransa kama lugha rasmi na kukiacha kitumike sehemu za kazi
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma