Niger yaishutumu Ufaransa kuvuruga amani Jeshi la Niger limesema Ufaransa ilikiuka zuio la anga lililotolewa na Niger na pia imewaachia magaidi 16 ili waishambulie nchi yao Maafa, Siasa August 10, 2023 Soma Zaidi
Rais Traore aijibu Ufaransa August 9, 2023 Siasa Raisi wa Burkina Faso Ibrahim Traore amesema kuwa misaada ya Ufaransa haijawahi kuwa na faida yoyote kwa miaka 63
Hatua dhidi ya Niger ni maamuzi ya ECOWAS August 9, 2023 Siasa Raisi wa Nigeria Bola Tinubu amesema kuingilia kijeshi nchini Niger na vikwazo kwa Niger ni maamuzi ya Jumuiya ya ECOWAS
Ufaransa imesitisha misaada Burkina Faso August 7, 2023 Siasa Serikali ya Ufaransa imejibu mapigo kwa kutangaza kusitisha misaada ya bajeti na maendeleo nchini Burkina Faso
Serikali ya Senegal yalaumiwa kuhusu hali ya Sonko August 7, 2023 Afya, Siasa Kiongozi wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko amepelekwa hospitali baada ya kutokula kwa muda akiwa gerezani
Wiki imekamilika, hofu imetanda Niger August 7, 2023 Siasa Jeshi la Niger limelazimika kuifunga anga yake kutokana na hofu ya kuvamiwa na mataifa jirani kuongezeka wakati wiki iliyotolewa na
Ajali nyingne, ziwa Victoria August 3, 2023 Jamii Watu 20 wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama maji kwenye ziwa Victoria nchini Uganda
Waziri Mkuu autaka urais,Congo August 3, 2023 Siasa Aliyekuwa Waziri Mkuu wa DRC Augustin Matata Ponyo ametangaza nia ya kuwania kiti cha urais nchini humo katika uchaguzi wa
“Siogopi vitisho” kiongozi wa jeshi, Niger August 3, 2023 Siasa Licha ya vitisho vya kimataifa na vile vya jumuiya ya ECOWAS, kiongozi wa jeshi la Niger amesema hatomrejesha madarakani Rais
Senegal yaufungia mtandao wa ‘Tiktok’ August 3, 2023 Teknolojia Serikali nchini Senegal imefungia mtandao wa 'Tiktok' katika kile ilichokiita ni hatua ya kuleta utulivu na usalama kutokana na maandamano
Miaka 5 jela kwa kumkosoa Mfalme wa Morocco August 3, 2023 Jamii Mtu mmoja nchini Morocco amehukumiwa miaka 5 jela kwa kosa la kuandika ujumbe kwenye 'Facebook' uliotafsiriwa ni kumkosoa Mfalme wa Morocco
Timu za Afrika zafanya vizuri kombe la dunia August 3, 2023 Michezo Timu za Afrika za Afrika Kusini na Nigeria zimeweka rekodi katika mashindano ya kombe la dunia la wanawake nchini New