Ruto aingia kwenye mkutano na gari ya umeme Raisi wa Kenya William Ruto ameonesha jinsi anavyothamini ubunifu na ukuaji wa Teknolojia kwa kuamua kutumia gari ya umeme kwenda kwenye mkutano Nishati, Siasa, Teknolojia September 5, 2023 Soma Zaidi
Baadhi ya maeneo kukosa umeme Dar kuanzia Septemba 1 August 31, 2023 Jamii, Nishati Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limetangaza kuwa hakutakuwa na umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam
Serikali yatoa vigezo kuruhusu uwekezaji August 29, 2023 Biashara, Siasa, Uchumi Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema Tanzania ina fursa nyingi sana za uwekezaji hivyo lazima kuwa ni
Somalia: leta bidhaa yenye vyeti vya ubora August 20, 2023 Biashara, Uchumi Katika kuhakikisha ubora wa bidhaa zinazoingia na zinazotoka nchini Somalia, nchi hiyo imeagiza bidhaa ziwe na vyeti vya ithibati.
kutumia kuni kwa siku ni sawa na kuvuta sigara 300 August 18, 2023 Nishati Naibu spika wa Bunge la Tanzania Mhe Azam Zungu amesema matumizi ya kuni au mkaa Kwa siku moja ni sawa
ATCL yatangaza ujio wa ndege zingine nchini August 15, 2023 Biashara, Usafiri Shirika la ndege la ATCL limesema mpaka sasa kuna ndege 13 nchini na mpaka kufika 2024 tayari shirika hilo litakua na ndege 16
Wanaodaiwa na NHC kutangazwa kwenye vyombo vya habari August 15, 2023 Biashara, Jamii Shirika la Nyumba la Taifa limekuja na mpango wa kuwatangazia wadaiwa wake sugu wote ili makampuni mengine yasifanye nao kazi
Serikali ya Kenya yarudisha ruzuku ya mafuta August 15, 2023 Nishati Serikali nchini Kenya imebadilisha msimamo wake na kuuamua kurudisha ruzuku ya mafuta huku ikipambana bei ya bidhaa hiyo isipande
SADC kuwekeza katika rasilimali watu na viwanda August 14, 2023 Biashara, Uchumi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Africa imejipanga kuwekeza katika rasilimali watu ili kuboresha na kukuza sekta ya viwanda
Mahakama yatoa uamuzi, yabariki uwekezaji bandari August 10, 2023 Biashara, Uchumi Mahakama Kuu kanda ya Mbeya Leo imebariki mkataba wa IGA kuwa ni halali na imesema malalamiko yaliyotolewa hayana mashiko
Bei ya petrol yazidi kupanda Zanzibar August 9, 2023 Nishati Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za nishati na maji Zanzibar ZURA imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta inayoanza kutumika hii
Uamuzi mkataba wa bandari wafikiwa August 7, 2023 Biashara, Uchumi Huu ndio uamuzi wa Mahakama Kuu mkoani Mbeya kuhusu kesi ya kupinga mkataba wa ushirikiano wa bandari kati ya Tanzania