Nyara za Serikali zawasababishia kifungo cha miaka 20 Mahakama imewapa adhabu ya miaka 20 jela kwa kila mmoja watuhumiwa wawili wa ujangili kwa kukutwa na nyara za serikali huko Babati, Mkoani Manyara Maafa, Mazingira, Uhalifu, Utalii May 7, 2024 Soma Zaidi
Marubani wa Air Tanzania kuwafundisha wa Nigeria May 6, 2024 Usafiri Marubani wawili kutoka Air Tanzania wanatarajiwa kuwafundisha wenzao wa Ibom Air ya Nigeria kuendesha ndege zake mpya za AirBus A220
Majaliwa: Vifo vinavyotokana na maafa ya mvua vimevuka 150 April 26, 2024 Biashara, Jamii, Maafa, Uchumi, Usafiri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa vifo vilivyotokana na Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini vimefika 155 na kuna majeruhi zaidi ya 230.
Matokeo ya Sensa wanyamapori na watalii hadharani April 22, 2024 Biashara, Mazingira, Uchumi, Utalii Wizara ya Utalii kupitia taasisi ya utafiti wa wanyamapori (TAWIRI) imefanya sensa ya wanyama na watalii wa nje nchini.
Wawili wafariki ajali ya malori Njombe April 19, 2024 Maafa, Usafiri Ajali ya Lori la Mbao na lori la Makaa ya Mawe yasabisha vifo vya watu wawili akiwemo dereva wa Lori
Mashirika ya Ndege kurudisha safari za Mashariki ya Kati April 15, 2024 Usafiri Mashariki ya Kati imeanza kufunguka baada ya mashirika ya ndege makubwa kurudisha safari za ndege katika ukanda huo
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO CASSOA VISIWANI ZANZIBAR April 13, 2024 Mazingira, Usafiri Tanzania kuwa mwenyeji kwenye mkutano wa wadau wa usalama wa usafiri wa anga afrika mashariki CASSOA kwa tarehe 15 na
Mradi wa Mto Msimbazi “Jangwani” upo mbioni April 12, 2024 Maafa, Mazingira, Usafiri Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi asema "Mradi wa Mto Msimbazi "Jangwani" upo kwenye hatua nzuri mikononi mwa TARURA"
TARURA kuunganisha kata mbili kwa bilioni 1.8 April 11, 2024 Biashara, Kilimo, Usafiri TARURA kuunganisha Kata mbili Wilayani Kilomberi Moani Morogoro kwa ujenga daraja la chuma pamoja na barabara ya changarawe kilomita 15
Shule ya Kivukoni A Ulanga yafungwa sababu ya mafuriko April 9, 2024 Jamii, Maafa, Usafiri Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt. Julius Ningu asimamisha masomo shule ya Msingi Kivukoni A kutokana na shule hiyo kujaa
TAWA waweka Kambi Mlali kudhibiti mamba April 9, 2024 Jamii, Utalii Mamlaka ya uhifadhi wanyamapori nchini TAWA imepiga kambi kijiji cha Mlali wilayani Mvomero ili kudhibiti mamba ambao ni tishio kwa
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma