Waziri afuta leseni za vitalu vya Madini Waziri Mavunde atoa maagizo ya kufuta leseni za wasioendeleza maeneo yao ya uchimbaji madini, na kusema kuwa nyingine zitafutwa ziendelezwe Madini March 23, 2024 Soma Zaidi
Maelfu waathirika na mafuriko kilosa March 22, 2024 Maafa Zaidi ya watu elfu moja na mia nne wameathirika kwa namna moja au nyingine wilayani kilosa baada ya mvua kunyesha
MKUTA: wanaume wengi wanafariki kwa TB Tanzania March 22, 2024 Afya Taasisi ya Mwitikio wa kudhibiti kifua kikuu na ukimwi Tanzania (MKUTA) imetoa elimu juu ya kifua kikuu kwa waandishi wa
Kanisa Katoliki: Watanzania wawasaidie wahitaji March 22, 2024 Jamii Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam wawaasa watanzania kuwasaidia wahitaji wakati wa ufunguzi wa mbio za Pugu Marathon
Vijana waitaka Serikali kuwekeza kwenye 3D March 20, 2024 Jamii, Teknolojia Vijana wameitaka serikali kuwekeza kwenye teknolojia ili kuwaongezea wigo wa kujiajiri na kuajiriwa. Miongoni mwa teknolojia hizo ni teknolojia ya
DC TEMEKE kutatua mgogoro wa ardhi Toangoma March 19, 2024 Habari DC Temeke kutatua mgogoro wa ardhi baina ya wamiliki wa asili na waliouziwa katika eneo la Changanyikeni, Kata ya Toangoma
Bodi ya Utalii yatangaza fursa kanda ya kusini March 19, 2024 Utalii Regrow wawezesha Bodi ya Utalii kuwakutanisha wadau wa Utalii kutoka Ujerumani na wenzao wa kanda ya kusini nchini Tanzania
ACT Wazalendo: Serikali ifanyeni Tume huru uchaguzi wa madiwani March 18, 2024 Habari Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo ameitaka serikali kuipa meno tume ya uchaguzi ili isimamie uchaguzi ikiwa Huru.
BASHE : Marekani hata bongo mchele na maharagwe vipoo March 18, 2024 Biashara, Kilimo, Uchumi Waziri Bashe mwenye dhamana ya Kilimo nchini awataka wamarekani kuja kununua mchele na maharagwe kwa wakulima wa Tanzania.
Rais Samia kasema “Hakuna Kitakachosimama” March 16, 2024 Habari Kauli ya Rais Samia imetumka na Kamati ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi baada kufurahishwa na ujenzi katika
Kamati ya Bunge yapongeza Serikali na TASAF March 16, 2024 Biashara, Jamii, Mazingira, Siasa Kamati ya Bunge ya ya Utawala, Katiba na Sheria pamoja na Mhe. Ridhwani Kikwete waipongeza TASAF kwa miradi Ruvuma na
Hospitali ya Rufaa Chato kutoa huduma za Moyo March 16, 2024 Afya Wizara ya Afya imeazimia kuifanya Hospitali ya Rufaa ya Chato kutoa huduma za moyo ngazi ya Ubingwa na Ubingwa bbezi
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma