ZINAZOVUMA:

TAKWIMU ZA NBC PREMIER LEAGUE

Tukiwa kwenye likizo ya mechi za kimataifa tuangalie twakimu za...

Share na:

Tukiwa kwenye likizo ya mechi za kimataifa tuangalie twakimu za ligi ya NBC mpaka sasa kabla ya kuanza tena pindi mechi za kimataifa zitakapoisha

WASAIDIZI WA MABAO (TOP ASSISTS) NBC Premier League
Kipre Junior (8) – AZAM FC
Kuoassi Yao (7)- YANGA FC
Ki Aziz (7)- YANGA FC

WAFUNGAJI BORA (TOP SCORERS) NBC Premier League
Ki Aziz (13)- YANGA FC
Feisal Salum (13) – AZAM FC
Wazir Junior (13) – KMC

KUTORUHUSU MABAO KWENYE MECHI (TOP CLEAN SHEETS) NBC Premier League
Ley Matampi (10) – COASTAL UNION
Djigui Diarra (8) – YANGA FC
John Noble (7) – TABORA UNITED

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya