ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Mkuu wa wilaya ya korogwe Mhe Jokate Mwigelo amekabidhi baiskeli 200 kwa wanafunzi wa kike ili kupunguza utoro shuleni.
Tafiti zinaonesha kuwa unywaji wa "energy drinks" kupita kiasi unaweza sababisha magonjwa ya moyo au hata vifo vya ghafla.
Bondia wa Tanzania Twaha Kiduku ameendelea kuweka heshima ulingoni baada ya kumtandika Iago Kiziria kwa ponti.
Serikali imeomba ipewe muda kufanyia kazi suala la kuimilikisha ndege shirika la ndege la Tanzania ATCL kama ilivyopendekezwa na C.A.G.
Baraza la waislamu Tanzania Bakwata limesema swala ya Eid inatarajiwa kuswaliwa katika msikiti wa Mfalme Mohammed VI kinondoni.
Taasisi ya kilimo na utafiti Tanzania yaboresha mbinu za umwagiliaji ili kuongeza uzalishaji wa mbegu na shughuli za utafiti.

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya