“Kigwangalla hakufyatua risasi” Jeshi la polisi mkoani Mwanza limesema kuwa Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamsini Kigwangalla hakufyatua risasi kumpiga mlinzi wake Jamii May 27, 2023 Soma Zaidi
Fataki na baruti marufuku kesho kwa Mkapa May 27, 2023 Michezo Kamanda kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema usalama siku ya mchezo utakuwa wa kiwango cha juu
Benki kuu yaridhishwa na ukuaji wa uchumi May 25, 2023 Uchumi Benki kuu ya Tanzania imeridhishwa na ukuaji wa uchumi nchini unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu
Serikali yakubali sekta binafsi bandarini May 25, 2023 Biashara, Uchumi Serikali nchini kupitia Waziri wake wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa imesema ni lazima kushirikisha sekta binafsi
Mwenge wazindua miradi Dar es salaam May 25, 2023 Siasa Mwenge wazindua miradi mbalimbali yenye thamani zaidi ya bilioni 9 katika wilaya ya kigamboni
Mabadiliko ya uongozi, uhamisho na uteuzi May 24, 2023 Siasa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa
Wafanyabiashara wa Tanzania wazuiwa Zambia May 24, 2023 Biashara Wafanyabiashara wa Mahindi wa Tanzania wameweka mgomo eneo la mpakani mwa Tanzania na Zambia baada ya kuzuiwa
DART kuweka vizuizi kwenye vituo vya Mwendokasi May 24, 2023 Habari Wakala wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam unatarajia kuweka vizuizi kwenye barabara zake za Mwendokasi
‘Lift’ yaporomoka na kujeruhi saba May 24, 2023 Jamii Lift imeporomoka kutoka ghorofa ya 10 mpaka chini na kujeruhi watu saba waliokuwa wamepanda
Fursa ya Kiswahili nje ya nchi May 23, 2023 Elimu Balozi 13 za Tanzania nje ya nchi zimetangaza fursa ya kufundisha Kiswahili nje ya nchi
Fainali ya Yanga yabadili ratiba NBC May 21, 2023 Michezo Ligi kuu imetangaza kusogeza mbele kucheza michezo ya mzunguko wa mwisho kupisha fainali ya Yanga
Yanga sasa kuvuna milioni 20 kila goli May 18, 2023 Michezo Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani ameongeza hamasa kwa klabu Yanga ya milioni 20 kwa
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma