FIFA yaitoa kifungoni Fountain Gate Shirikisho la mpira duniani FIFA limeiondolea adhabu klabu ya Fountain Gate ya kutosajili wachezaji baada ya kukamilisha masharti Michezo August 1, 2023 Soma Zaidi
Tahadhari yatolewa hali ya hewa TZ August 1, 2023 Mazingira Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa kwa siku tatu mfululizo kuanzia jumatano
Kuhusu nishati ya umeme ukweli utatawala July 31, 2023 Nishati Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema katika suala la nishati ya umeme hawatotoa taarifa yoyote ya uongo kwa wananchi hata
Serikali yawasilisha pingamizi la kulipa Bilioni 267 July 31, 2023 Biashara, Madini, Uchumi Serikali ya Tanzania kupitia Mwanasheria wake Mkuu Eliezer Felesh imewasilisha pingamizi la hukumu ya kuilipa kampuni ya 'Indiana Resources'
watu 13 wahofiwa kupoteza maisha ziwa Victoria July 31, 2023 Jamii, Maafa Watu 13 wahofiwa kupoteza maisha baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya ziwa Victoria
Sheikh Ali Basaleh kuzikwa leo July 31, 2023 Jamii Mwili wa marehemu Sheikh Ali Basaleh utaswaliwa baada ya swala ya adhuhuri katika msikiti wa Mtoro kariakoo
Waziri Mkuu awaalika wawekezaji sekta ya mbolea July 28, 2023 Biashara, Kilimo, Uchumi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobeba waje kuwekeza kwenye sekta ya mbolea ili kufufua viwanda vya mbolea nchini
Bilioni 31 kutumika kukarabati uwanja wa Taifa July 28, 2023 Michezo Serikali imetoa ufafanuzi wa namna shilingi bilioni 31 zitakavyotumika kukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa katika viwango vya kimataifa
HHRD yagawa vifaa tiba vyenye thamani ya milioni 650. July 28, 2023 Afya Taasisi ya 'Helping Hand for Relief and Development Africa' imegawa vifaa vya matibabu vyenye thamani ya shilingi milioni 650
Taasisi ya JKCI yaja na suluhisho ukosefu wa nguvu za kiume July 27, 2023 Afya Taasisi ya JKCI inatarajia kuanza tiba ya kuzibua mishipa ya uume ili kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
Bwawa la Mwl Nyerere halitapunguza gharama za umeme July 27, 2023 Nishati Kukamilika kwa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere hakutapunguza bei ya umeme kwa wateja
Wafanyakazi wafurahia kupandishwa kwa mishahara July 27, 2023 Biashara, Jamii, Uchumi Shirikisho la Vyama vya Wafanyaka nchini limewataarifu wafanyakazi kuwa nyongeza ya mishahara itaanza kuanzia mwezi ujao
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma