ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Maeneo ya Jiji la Dar na Zanzibar yametawaliwa na kelele za jenereta tangu saa 3 asubuhi kutokana na kukosekana umeme hadi jioni hii.
Serikali inatarajiwa kutangaza muwekezaji wa barabara ya kasi kutoka kibaha hadi chalinze machi 2024. Kuwekezaji huyo atatoa fedha za ujenzi
Mabadiliko makubwa ya kiutndaji yamefanyika katika kikao kazi baina ya Msajili wa Hazina, Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi
Oryx wakigawa mitungi mkoani Kagera
Oryx Gas Tanzania wagawa mitungi ya gesi kwa mama ntilie, wafanyakazi sekta ya afya na walimu mkoani Kagera.
Balozi Dkt Willibrod Slaa ameachiwa kwa dhamana hii Leo katika kituo cha polisi cha Osterbay jijini Dar es salaam
Bondia Karim Mandonga ameruhusiwa kuendelea na mapambano yake yanayofata baada ya uchunguzi kuonesha kuwa hana tatizo
Msanii wa Hip Hop Webiro Wasira 'Wakazi' amesema amevutiwa na imani ya uislamu na watu wasishangae ikitokea akaslimu

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya