ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Kada na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha amefariki Jijini Dar, na anatarajiwa kuzikwa Arusha kulingana na mipango ya Familia yake.
Mama samia arudi kutoka India akiwa na uhakika wa soko la mbaazi, uwekezaji kwenye zao la Korosho pamoja na kiwanda
Balozi Alex Kalua atoa taarifa ya usalama wa watanzania waliopo Israel, na kuongeza kuwa wawili kati ya 350 bado hawajapatikana.
Serikali kupitia wizara ya Afya imetoa tahadhari kufuatia mvua kubwa za Elnino zinazotarjiwa kuanza mwishoni mwa Septemba

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya