ZINAZOVUMA:

Mobhare Matinyi msemaji mpya wa serikali

Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu...

Share na:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe. Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Anakwenda kuchukua nafasi ya Gerson Msigwa ambae aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya