ZINAZOVUMA:

100 wafariki kwa ajali ya moto wakiwa harusini

Watu 100 wamepoteza maisha na wengine 150 kujeruhiwa katika ajali...

Share na:

Zaidi ya Watu 100 wamepoteza maisha huku wengine 150 wamejeruhiwa baada ya moto kuzuka wakati wa sherehe ukumbini katika Wilaya ya Al-Hamdaniya, Mji wa Nineveh nchini Iraq.

Chanzo halisi cha moto huo hakijabainika japokuwa taarifa za awali inadaiwa kuwa ulitokana na fataki lililowashwa eneo la tukio.

Naibu Mkuu wa Kurugenzi ya Afya, Ahmed Dubardan amesema wanandoa wote wawili wamepoteza maisha kwenye janga hilo.

Sababu ya idadi kubwa ya watu kupoteza maisha ni baada ya sehemu ya jengo kudondoka na kuwakandamiza watu wakati sherehe ikiendelea.

Endelea Kusoma

Waziri Mkuu wa Slovakia amejeruhiwa vibaya katika jaribio lakutaka kumuua kwenye mji

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya