“Sitashiriki mijadala ya Urais” Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema kuwa hatoshiriki mijadala ya kuwania nafasi ya kugombea Urais kwenye chama chake cha Republican Siasa August 21, 2023 Soma Zaidi
Ramaphosa aziombea nafasi nchi za Afrika kujiunga BRICS August 21, 2023 Siasa Rais Cyril Ramaphosa amesema nchi zaidi ya 20 duniani kote zinahitaji kujiunga na BRICS na yeye anaunga mkono hilo hasa
Thamani ya dola yazidi kuwa tishio August 18, 2023 Uchumi Kuendelea kupanda kwa thamani ya dola dhidi ya shilingi kutasababisha kupanda bei kwa bidhaa nyingi nchini
Hatma ya Greenwood bado kitendawili Man U August 18, 2023 Jamii, Michezo Klabu ya Manchester United bado haijatoa uamuzi mpaka sasa kuhusu mchezaji wake Mason Greenwood kurejea uwanjani
“Nataka kucheza Real Madrid pekee” August 18, 2023 Michezo Kylian Mbappe amesema ataendelea kusalia PSG mpaka mkataba wake utakapomalizika ili akacheze Real Madrid msimu ujao
Taliban yafungia vyama vyote vya siasa Afghanistan August 17, 2023 Siasa Utawala wa Taliban imepiga marufuku vyama vyote vya siasa Afghanistan ukisema kuwa ni kinyume na sheria za kiislamu
Sheikh afia gerezani akitumikia kifungo cha maisha August 17, 2023 Jamii Sheikh Delwar Hossain Sayeedi amefariki akiwa gerezani akitumikia kifungo cha maisha alichohukumiwa tangu mwaka 2014
Neymar atimkia Al Hilal ya Saudi Arabia August 15, 2023 Michezo Nyota wa Brazil na PSG Neymar amefikia makubaliano na klabu ya Al Hilal ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili kuchezea
Mapya yajiri ugomvi kati ya Musk na Zuckerberg August 14, 2023 Teknolojia Baada ya kushindikana kuingia ulingoni kupigana kati ya Elon Musk na Mark Zuckerberg sasa ugomvi wao umehamia kwenye kurushiana maneno
EU yaingilia mzozo Niger August 11, 2023 Siasa Umoja wa Ulaya umekosoa kinachoendelea Niger na kuamua kuiunga mkono ECOWAS katika juhudi za kurudisha amani nchini humo
53 wateketea kwa moto Hawaii August 11, 2023 Jamii, Maafa Raisi wa Marekani Joe Biden ametangaza hali ya maafa baada ya zaidi ya watu 53 kuteketea kwa moto katika mji
Mgombea wa Urais apigwa risasi Ecuador August 10, 2023 Jamii, Siasa Mgombea wa nafasi ya urais nchini Ecuador amepigwa risasi tatu za kichwa na kupoteza maisha wakati wa sherehe za kampeni
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma