Haiti: Majina ya Baraza la mpito yawasilishwa Baada ya CARICOM kuingilia kati fujo za Haiti, leo wamefanikiwa kuwasilisha majina ya wateule baraza la mpito, huku Pitit Desalin kikisusia Jamii, Maafa, Siasa March 20, 2024 Soma Zaidi
HAITI: Vifaa vya Mashirika ya kutoa misaada vyaibwa March 18, 2024 Maafa Mashirika ya misaada nchini Haiti yalalamika kuibwa kwa vitu mbalimbali ikiwemo vitu walivyotarajia kutoa kama msaada wa kibinadamu
VATICAN Kupinga FreeMason November 17, 2023 Jamii Papa amsimamisha askofu kutokana na tofauti ndani ya kanisa, muda mfupi baadae atoa tamko la kupinga waamini wa kanisa kujiunga
IIT Madras Zanzibar yafungua milango November 7, 2023 Elimu Chuo cha IIT Madras Zanzibar chafungua milango rasmi kwa kudahili wanafunzi 45 kutoka nchi 4 duniani, na wanawake wakichukua 40% ya wanafunzi
Spika Dkt.Tulia Aweka Historia, Ashinda Urais Wa Umoja Wa Mabunge Duniani-Amshukuru Rais Dkt.Samia, Asema Ana Deni Kwake November 1, 2023 Siasa Dkt.Tulia amemshukuru sana Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mchango wake na sapoti yake ilimsaidia kuibuka na ushindi huo mnono.
Ye Htut waziri wa zamani wa habari akamatwa Myanmar October 31, 2023 Siasa Ye Htut: Waziri wa Habari wa serikali ya kijeshi ya zamani akamatwa na serikali ya kijeshi ya sasa kwa kusambaza
Spika Tulia Ackson aukwaa uraisi wa maspika wa dunia October 27, 2023 Siasa Spika wa Bunge la Tanzania Bi Tulia Ackson awabwaga wenzake watatu na kuibuka mshindi kwenye uchaguzi wa umoja wa mabunge
Nchini Ufaransa na Ujerumani, wafuasi wa Wapalestina wanasema wanapambana ili sauti zao zisikike. October 20, 2023 ISRAEL - GAZA, Siasa Huku maelfu ya watu wakijitokeza mitaani kote duniani tarehe 13 Oktoba kuunga mkono Wapalestina, maandamano yote kama hayo nchini Ujerumani
Ajiuzulu juu ya ukakasi mashambulizi ya Israeli kwa Gaza October 19, 2023 ISRAEL - GAZA, Siasa Afisa aliyeshindwa kumeza fupa mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza ajiuzulu kwenye nafasi yake wizara ya Mamo ya Nje Marekani
Mmarekani aliyekwama Gaza anajihisi ni ‘raia wa daraja la pili’ October 19, 2023 ISRAEL - GAZA, Siasa Wanandoa wa Michigan wamefungua kesi dhidi ya serikali ya Marekani ili kuhimiza kuondolewa kwa Wamarekani Ukanda wa Gaza
Walionusurika shambulizi la Israeli wahadithia madhila waliyopata October 19, 2023 ISRAEL - GAZA, Maafa, Siasa Mlipuko katika hospitali ya al-Ahli Arab imefanya 'mfumo wa afya wa Gaza uanguke', daktari mmoja anaeleza Middle East Eye.
INDIA kununua mbaazi za Tanzania October 14, 2023 Biashara, Uchumi Mama samia arudi kutoka India akiwa na uhakika wa soko la mbaazi, uwekezaji kwenye zao la Korosho pamoja na kiwanda
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma