ZINAZOVUMA:

Kimataifa

Muungano wa OPEC umepanga kupunguza uzalishaji wa mafuta hali itakayotishia bei ya soko la mafuta duniani.
Jopo la mahakama la Wazee wa Manhattan mjini New York marekani wamepiga kura ya kushtakiwa kwa Donald Trump.
Klabu ya Chelsea kutoka ligi kuu ya uingereza imewafuturisha waislamu walio karibu na eneo la uwanja wao wa Stamford Bridge.
Bi Kamal harris, anatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania tarehe 29 March 2023 kukuza diplomasia baina ya nchi hizo.
Serikali ya Tanzania imetoa msaada wa kibinadamu kwa uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo tarehe 6/2/2023
Nyota wa zamani wa Arsenal na Real Madrid Mesut Ozil (34) ametangaza kustaafu kucheza mpira wa kulipwa baada ya majeraha
Mwezi haujaonekana siku ya leo jumanne hivyo Ramadhani inatarajiwa kuwa siku ya Alhamisi tarehe 23.
Waamuzi wa ligi ya uingereza wameruhusiwa kusimamisha mchezo ili kuwapa nafasi wachezaji walio funga kufuturu ndani ya mwezi wa Ramadhani.
Timu ya Chelsea itawaalika waislamu wote siku ya jumapili tarehe 26 mwezi March Kwa ajili ya kufuturu kwa pamoja.

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya