ZINAZOVUMA:

Chelsea kufuturisha waislamu.

Timu ya Chelsea itawaalika waislamu wote siku ya jumapili tarehe...

Share na:

Klabu ya mpira nchini uingereza Chelsea imesema siku ya jumapili ya tarehe 26 March itafuturisha waislamu wote ambao tayari watakua wameingia ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadan.

Chelsea Kwa kushirikina na mradi wa “Ramadantent” wataandaa iftari hiyo katika uwanja wao wa Stamford Bridge na kukaribisha waislamu wa maeneo hayo.

Jambo hili litakua ni mara ya kwanza kufanyika na klabu ya mpira kutoka uingereza..

Endelea Kusoma

Mfalme Salman wa Saudi Arabia aongoza kikao cha baraza la Mawaziri baada

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya