Uingereza yapiga marufuku uagizaji wa almasi za Urusi Uingereza imesema itapiga marufuku uagizaji wa almasi za Urusi kama sehemu ya vikwazo kupinga uvamizi nchini Ukraine Siasa May 21, 2023 Soma Zaidi
Bilionea wa Kenya kununua hisa za Forbes May 21, 2023 Biashara Tajiri na bilionea wa Kenya Julius Mwale ametajwa kuwa miongoni mwa watu wanaowania kununua hisa za Forbes
Marekani yaipatia ndege Ukraine May 21, 2023 Siasa Marekani imewaruhusu washirika wake wa magharibi kuipatia Ukraine ndege za kivita kujiimarisha dhidi ya Urusi
Waziri wa Uingereza aishutumu China May 21, 2023 Siasa Waziri wa Uingereza anaishutumu China kwa kusababisha changamoto kuhusu usalama na amani ya dunia
WMO yasema kutakua na ongezeko la joto duniani May 18, 2023 Mazingira Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO limeeleza kuwa kutakua na ongezeko la joto kwa miaka mitano ijayo
Sheikh Jassim aongeza dau kuinunua Man U May 17, 2023 Michezo Mfanyabiasha maarufu wa Qatar Sheikh Jassim amefanya maboresho ya ofa yake ili aweze kuinunua klabu ya Manchester United
China haiko tayari kuiacha huru Taiwan May 17, 2023 Jamii, Siasa China imesema ipo tayari kuharibu harakati zozote za Taiwan za kujaribu kuwa huru
Messi kurudi Barcelona May 16, 2023 Michezo Raisi wa Barcelona Joan Laporta amesema klabu hiyo ipo tayari kumrejesha Lionel Messi kwani Barcelona ndio nyumbani kwa Messi
Ramaphosa: Afrika Kusini haifungamani na upande wowote May 15, 2023 Siasa Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema nchi yake haitafungamana na upande wowote
Ramaphosa aijibu Marekani kuhusu kuisaidia Urusi May 12, 2023 Siasa Raisi wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameijibu Marekani baada kushutumiwa kuipatia Urusi silaha
Elon Musk amempata Boss mpya wa Twitter May 12, 2023 Jamii, Teknolojia Bilionea Elon Musk amesema kwamba amempata Mtendaji Mkuu mpya atakae uongoza mtandao wa Twitter
UN kukaa kikao kuhusu mzozo Sudan May 11, 2023 Jamii, Uhalifu Baraza la haki za kibinadamu la umoja wa mataifa litafanya kikao cha dharura kujadili mzozo nchini Sudan
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma