Wananchi wapangiwa namna ya kutumia maji Afrika Kusini Kutokana na uhaba wa maji, wananchi Afrika Kusini wamepangiwa namna ya kutumia maji ili yaendelee kupatikana Jamii September 18, 2023 Soma Zaidi
Libya bado ipo hatarini September 18, 2023 Jamii Umoja wa mataifa umeeleza hali ya wasiwasi kuwa huenda mabwawa mengine mawili yanaweza kupasuka na kusababisha mafuriko
17 wapoteza maisha kwa mvua kubwa Congo September 18, 2023 Jamii Watu 17 wamepoteza maisha baada ya maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Congo
Hali ya dharura kwa mwaka mmoja yatangazwa Libya September 18, 2023 Afya, Jamii Hali ya hatari imetangaza nchini Libya juu ya maambukizi mapya yaliyokana na mafuriko baada ya kimbunga kikali kupiga nchini humo
Serikali ya Congo yakanusha kutokea Mapinduzi ya kijeshi September 18, 2023 Siasa Serikali nchini Congo Brazzaville imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni juu ya uwezekano wa kuwepo na mapinduzi ya kijeshi
Mahakama yaamuru Tanzania kufuta adhabu ya viboko September 18, 2023 Habari Mahakama ya haki za Binadamu Afrika yaamuru Tanzania kufuta adhabu ya kudhalilisha ya viboko, na pia kumlipa fidia mmoa wa
Dagalo atishia kuanzisha serikali yake Sudan September 15, 2023 Siasa Kiongozi wa kikosi cha RSF ametishia kuanzisha serikali yake nchini Sudan ikiwa jeshi la Sudan litaweka makao makuu katika mji
Mjumbe wa UN aliyetumwa Sudan ajiuzulu September 14, 2023 Maafa, Siasa Mjumbe kutoka umoja wa mataifa aliyechaguliwa kwenda Sudan amejiuzulu huku akitahadharisha vita ya wenyewe kwa wenyewe
Idadi ya waliofariki inaongezeka kila baada ya muda Libya September 14, 2023 Jamii, Maafa Hali inazidi kuwa mbaya nchini Libya kwani kila muda unavyozidi kwenda ndivyo idadi ya miili ya watu waliopoteza maisha inazidi
Waasi wa zamani nchini Mali wavaa gwanda kurudi tena uwanjani September 12, 2023 Siasa Wapiganaji wa kutoka kikundi cha waasi kutoka Azawd nchini Mali, wawataka wanachi kuungana nao kulinda nchi na uhuru wa taifa
Rais aliyepinduliwa Gabon aruhusiwa kusafiri nje ya nchi September 7, 2023 Siasa Raisi aliyepinduliwa nchini Gabon Ali Bongo ameachiliwa na kuruhusiwa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya matibabu
Wajawazito wanaokunywa pombe kushtakiwa Afrika Kusini September 7, 2023 Jamii Naibu Waziri wa Maendeleo ya jamii Afrika Kusini amesema unywaji wa pombe wa wanawake wajawazito kuna athari kwa mtoto