Kesi ya mauaji ICJ: Hoja za Israeli ni zipi na je, zina mashiko? Mahakama ya Kimataifa ya Haki ilisikiliza utetezi wa Israeli dhidi ya tuhuma za Afrika Kusini kwamba ilifanya vitendo vya mauaji ya halaiki huko Gaza, siku ya pili ya kusikilizwa ambayo ISRAEL - GAZA January 15, 2024 Soma Zaidi
Siku ya kwanza kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Israel – ICJ January 11, 2024 ISRAEL - GAZA Afrika Kusini iliweka orodha ya madai ya mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Israel wakati ikitaka zuio dhidi ya vita hivyo.
LIBYA yazuia wachimbaji haramu December 6, 2023 Madini Serikali ya Libya imefanikiwa kufunga mtandao wa wachimbaji haramu kusini mwa nchi hiyo. Mtandao huo umeundwa pamoja na raia wa
Eng. Hersi Mwenyekiti wa kwanza ACA December 2, 2023 Michezo Eng. Hersi Said ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa chama cha klabu za afrika nchini Misri. Hersi na Try Again
Msumbiji yaingia makubaliano na Tanzania November 8, 2023 Uchumi Tanzania na Msumbiji zaingia makubaliano ya kushirikiana katika kuendeleza vitalu vilivyopo mpakani mwa nchi hizo kwa maslahi ya mataifa hayo
Spika Tulia Ackson aukwaa uraisi wa maspika wa dunia October 27, 2023 Siasa Spika wa Bunge la Tanzania Bi Tulia Ackson awabwaga wenzake watatu na kuibuka mshindi kwenye uchaguzi wa umoja wa mabunge
Sylvia Bongo Matatani kwa ubadhirifu Gambia October 13, 2023 Siasa, Uhalifu Sylvia Bongo na mwanawe Noureddin Bongo washitakiwa kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma, utakatishaji fedha na rushwa nchini
ZIMBABWE yaondoa kodi kwenye mbolea October 11, 2023 Biashara, Kilimo, Uchumi Kutokana na tishio la El Nino Zimbabwe imeondoa kodi ya kuingiza mbolea nchini humo kwa miezi 12 ili kuzalisha chakula
Waliomtorosha Facebook Rapist waachiwa October 11, 2023 Uhalifu Wafanyakazi wa G4S waliosadikiwa kumsaidia muuaji "Facebook Rapist" kutoroka gerezani waachiwa huru na mahakama nchini Afrika Kusini.
Niger: aondoke ndani ya saa 72 October 11, 2023 Siasa Baada ya Serikali ya kijeshi nchini Niger kuzuiwa kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa, yatoa saa chache kwa afisa wa
Air France yazuiwa nchini Mali October 11, 2023 Siasa Serikali ya Mali yazuia safari za Air France na kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa mamlaka ya Anga nchini humo.
Mwanasiasa ashtakiwa kwa kujihusisha na uchawi October 3, 2023 Jamii, Siasa Mwanasiasa wa upinzani nchini shelisheli anashtakiwa kwa kujihusisha na masuala ya uchawi