ZINAZOVUMA:

LIBYA yazuia wachimbaji haramu

Serikali ya Libya imefanikiwa kufunga mtandao wa wachimbaji haramu kusini...

Share na:

Serikali ya Libya imefunga mtandao wa uchimbaji mdogo wa dhahabu katika maeneo ya jangwa kusini mwa nchi hiyo.

Mtandao huo uliohusisha raia wa nchi nyingine kama China, Chad na hata Nigeria.

Watu hao walikuwa wkaiendesha shughuli za kuchimba dhahabu, katika maeneo takriban manne bila vibali wala makubaliano yoyote na mamlaka.

Katika operesheni hiyo walikamatwa wwatu watano, wakiwemo wageni wane wanaohisiwa kuishi kinyume na utaratibu.

Serikali ya Libya inaamini kuwa mtandao huo ni wa kificho, na hutumia Sarafu mtandao (Cryptocurrencies) kwenye miamala yake.

Endelea Kusoma

Vyombo vya Habari nchini Iran vimeanza kutangaza kifo cha Rais Ebrahim Raisi,