Rais Samia ziarani nchini Korea kusini Rais Samia atakuwa kwenye ziara ya siku 7 Korea Kusini pamoja na kuhudhuria mkutano wa mwaka wa nchi za Afrika na Korea Kusini Biashara, Madini, Usafiri May 30, 2024 Soma Zaidi
BOEING kuweka Makao Makuu ya Afrika nchini Ethiopia May 29, 2024 Uchumi, Usafiri Shirika la kutengeneza ndege duniani la Boeing limeichagua Ethiopia kama nchi itakayoweka Makao makuu ya shirika hilo barani Afrika.
Vifo jengo lililoporomoka Afrika Kusini vyafika 23 May 13, 2024 Maafa Manispaa ya George Afrika Kusini imetangaza kuongezeka kwa vifo vilivyosababishwa na jengo kuporomoka katika manispaa hiyo
Afrika Kusini yaanza uchunguzi wa jengo kuporomoka May 9, 2024 Maafa Mamlaka zinazosimamia eneo lilipoporomoka jengo nchini Afrika kusini zimeanza kuchunguza sababu za jengo hilo kuporomoka na uokoaji
Ghana: Mahakama kujadili mswada wa LGBTQ+ May 9, 2024 Jamii, Uhalifu Mahakama kuu ya Ghana ipo kwenye majadiliano juu ya pingamizi dhidi ya sheria inayopinga ushoga nchini humo
Marubani wa Air Tanzania kuwafundisha wa Nigeria May 6, 2024 Usafiri Marubani wawili kutoka Air Tanzania wanatarajiwa kuwafundisha wenzao wa Ibom Air ya Nigeria kuendesha ndege zake mpya za AirBus A220
Waliofariki kwa mafuriko Kenya wafika 228 May 6, 2024 Jamii, Maafa Mamlaka nchini kenya imetangaza vifo tisa zaidi kutkana na mafuriko, na kufanya vifo vilivyotokana na mafuriko hayo kufikia 228
CHAD: Uchaguzi baada ya wimbi la mapinduzi kupita May 6, 2024 Siasa Raia wa Chad wanatarajia kufanya uchaguzi wa Rais na kuona serikali ya kidemokrasia jumatatu, baada ya wimbi la mapinduzi kupita
Mufti kuelekea Saudia leo April 22, 2024 Jamii Mufti Zuberi wa Tanzania anatarajia kusafiri kuelekea nchini Saudi Arabia baada ya kwa mwaliko wa Katibu Mkuu wa Muslim World
OCHA Somalia: Mvua hizi zitaathiri watu laki 7 nchini April 22, 2024 Jamii, Maafa Ofisi ya Umoja wa Mataifa za kuratibu Masuala ya Kijamii (OCHA) Somalia imatengaza kuwa Mvua za Gu zitaathiri watu zaidi
Majaliwa awataka wachunguzi wa Hesabu kuwa waaminifu April 19, 2024 Jamii, Uchumi Waziri Mkuu wa Tanzania awataka wataalamu wa uchunguzi wa Hesabu za Serikali kutumia mafunzo waliyopata kwa weledi na uaminifu
Waandamana kutaka majeshi ya kigeni kuondoka April 15, 2024 Jamii, Siasa Wananchi waandamana nchini Niger kupinga uwepo wa vikosi vya majeshi ya kigeni hasa vikosi vya Marekani vyenye kambi kusini mwa