Niger yatangaza serikali ya mpito Jenerali Abdourahmane Tchiani ametangaza serikali mpya ya mpito licha ya kuwepo msukumo wa kutakiwa kumrudisha Rais Bazoum Siasa August 10, 2023 Soma Zaidi
Niger yaishutumu Ufaransa kuvuruga amani August 10, 2023 Maafa, Siasa Jeshi la Niger limesema Ufaransa ilikiuka zuio la anga lililotolewa na Niger na pia imewaachia magaidi 16 ili waishambulie nchi yao
Rais Traore aijibu Ufaransa August 9, 2023 Siasa Raisi wa Burkina Faso Ibrahim Traore amesema kuwa misaada ya Ufaransa haijawahi kuwa na faida yoyote kwa miaka 63
Hatua dhidi ya Niger ni maamuzi ya ECOWAS August 9, 2023 Siasa Raisi wa Nigeria Bola Tinubu amesema kuingilia kijeshi nchini Niger na vikwazo kwa Niger ni maamuzi ya Jumuiya ya ECOWAS
Ufaransa imesitisha misaada Burkina Faso August 7, 2023 Siasa Serikali ya Ufaransa imejibu mapigo kwa kutangaza kusitisha misaada ya bajeti na maendeleo nchini Burkina Faso
Serikali ya Senegal yalaumiwa kuhusu hali ya Sonko August 7, 2023 Afya, Siasa Kiongozi wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko amepelekwa hospitali baada ya kutokula kwa muda akiwa gerezani
Wiki imekamilika, hofu imetanda Niger August 7, 2023 Siasa Jeshi la Niger limelazimika kuifunga anga yake kutokana na hofu ya kuvamiwa na mataifa jirani kuongezeka wakati wiki iliyotolewa na
“Siogopi vitisho” kiongozi wa jeshi, Niger August 3, 2023 Siasa Licha ya vitisho vya kimataifa na vile vya jumuiya ya ECOWAS, kiongozi wa jeshi la Niger amesema hatomrejesha madarakani Rais
Senegal yaufungia mtandao wa ‘Tiktok’ August 3, 2023 Teknolojia Serikali nchini Senegal imefungia mtandao wa 'Tiktok' katika kile ilichokiita ni hatua ya kuleta utulivu na usalama kutokana na maandamano
Viongozi ECOWAS wakutana kuijadili Niger August 2, 2023 Siasa Viongozi wa jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS wanakutana kujadili hali ya Niger kutokana na mapinduzi ya
Serikali imefuta chama cha upinzani, Senegal August 1, 2023 Siasa Serikali nchini Senegal imekifuta chama cha mwanasiasa maarufu na mpinzani wa Rais Sally, Ousmane Sonko kujihusisha na siasa nchini humo
Hali ya Nigeria yamchanganya Raisi Tinubu August 1, 2023 Jamii, Kilimo, Maafa, Uchumi Raisi wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza hatua za kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha nchini humo
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma