ZINAZOVUMA:

Afrika Mashariki

Mahakama imewanyima dhamana watuhumiwa wa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja ili kulinda usalama wao dhidi ya raia wenye hasira kali.
Watu kumi wamepoteza maisha baada ya Lori kuacha njia na kuparamia kijiwe cha bodaboda nchini Kenya.
Wanajeshi wa jeshi la jumuiya ya Afrika mashariki wamefanikiwa kuwaondoa waasi wa M23 katika Mji wa Bunagana uliopo mashariki ya
Msafara wa Raila Odinga umeshambuliwa na jeshi la polisi na kutupiwa vitoa machozi ili kusimamisha maandamano yanayoendelea nchini Kenya.
TFF imetangaza kuwa hakutakuwa na kiingilio katika mechi ya Taifa stars dhidi ya Uganda inayotarajiwa kuchezwa hapo kesho.
Timu ya Taifa stars yaichakaza vibaya Uganda katika mchezo wao wa kwanza uliochezwa nchini Misri.
Uganda matatani baada ya kupitisha sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja. Wawekewa vikwazo vya kiuchumi hadi watakapobadili sheria hiyo.

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya