ZINAZOVUMA:

M23 wafurushwa mashariki ya Kongo.

Wanajeshi wa jeshi la jumuiya ya Afrika mashariki wamefanikiwa kuwaondoa...

Share na:

Kikosi cha jeshi la jumuiya ya Afrika mashariki kimetangaza kuwaondoa rasmi waasi wa M23 katika Mji wa Bunagana uliopo upande wa mashariki ya Kongo, DRC.

Eneo hilo ambao lilikua likishikiliwa na waasi kwa zaidi ya miezi tisa sasa hatimae limekombolewa ambapo zaidi ya vikosi 120 vimekua vikipigana ili kulinda ustawi wa Bunagana na mashariki ya Kongo.

Majeshi ya Uganda ambayo ni miongoni mwa jeshi la umoja wa Afrika mashariki limesema wataendelea kupambana na waasi ili kuwaondoa katika maeneo mengine wanayoyashikilia kama vile Kiwanja na Mabenga.

Endelea Kusoma

Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya