Kenya yakanusha kudukuliwa na China Kenya imekanusha kudukuliwa na China kwa miaka mitatu kama ambavyo iliripotiwa na shirika la habari la 'Reuters' Siasa, Teknolojia May 27, 2023 Soma Zaidi
Rais Samia na Museveni wazindua mradi wa umeme May 25, 2023 Siasa, Teknolojia Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Raisi wa Uganda kwa pamoja wamefungua mradi wa umeme
EAC yamtaka Raisi Tshisekedi kuonesha heshima May 12, 2023 Siasa, Uhalifu Umoja wa nchi za Afrika Mashariki umemtaka Raisi wa jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuheshimu hatua za kikanda
Tisa wafa Kenya kwa ugonjwa usiojulikana. May 11, 2023 Afya, Jamii Ugonjwa usiojulikana umeibuka nchini Kenya na kuuwa tisa huku 80 wakilazwa hospitalini wakipatiwa matibabu
Odinga kumshtaki Raisi Ruto May 8, 2023 Siasa Raila Odinga amesema atakwenda mahakamani kumshtaki Raisi William Ruto kwa kosa la kutofuata katiba
Bunge la Kenya lataka kusitisha mafao kwa Kenyatta May 7, 2023 Siasa Bunge la Kenya linahitaji kura za kutosha ili kupitisha maamuzi ya kusitisha mafao ya kila mwezi kwa Raisi aliepita Uhuru
Odinga aongoza maandamano ya kumpinga Ruto May 2, 2023 Siasa Raila Odinga amesema maandamano ya kupinga utawala wa Raisi Ruto yataendelea leo Mei 2 licha ya kukataliwa kupewa kibali na polisi
Uganda: Waziri apigwa risasi na mlinzi wake May 2, 2023 Uhalifu Waziri nchini Uganda amepigwa risasi na mlinzi wake kwa madai ya mlinzi huyo kutokulipwa mshahara wake kwa muda mrefu
Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa AFCON 2027. April 28, 2023 Michezo Nchi ya Tanzania, Kenya na Uganda zimeungana pamoja kuomba kuwa mwenyeji wa fainali za kombe la kimataifa la Afrika
Kila mkenya kuchangia 3% ya mapato yake. April 25, 2023 Siasa, Uchumi Raisi wa Kenya William Ruto amesema kila raia anatakiwa kuchangia asilimia 3 ya mapato kwenye mfuko wa ujenzi wa nyumba
58 wamekufa wakitaka kwenda mbinguni. April 25, 2023 Jamii Zaidi ya miili ya watu 58 imefukuliwa huku wengine wakiendelea kutafutwa baada ya kutokula chakula ili wafe waende mbinguni.
Tanzania na Kenya kushirikiana katika usafirishaji. April 23, 2023 Siasa, Uchumi Shirika la ndege nchini Tanzania ATCL na shirika la ndege nchini Kenya KQ yanatarajia kufanya kazi kwa kushirikiana.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma