Mmoja afariki, Maandamano Kenya Mtu mmoja ameuawa katika maandamano yanayoendelea kufanyika nchini Kenya licha ya onyo la raisi William Ruto Jamii, Siasa July 12, 2023 Soma Zaidi
Wakenya wakimbilia Tanzania kisa bei ya mafuta July 12, 2023 Biashara Maelfu ya wananchi kutoka Kenya (Namanga) wameonekana Tanzania kuja kununua mafuta kwa bei nafuu
Ruto atoa onyo maandamano Kenya July 12, 2023 Jamii, Maafa, Siasa Raisi wa Kenya ametoa onyo kali kwa wote wanaopanga kuandamana akisema kuwa hatoendelea kuvumilia
Kenya maandamano mengine kufanyika jumatano July 11, 2023 Siasa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Kenya ametoa onyo kwa wapinzani kufuatia maandamano yatakayofanyika jumatano.
Odinga atumia ‘Matatu’ kwenda kazini July 10, 2023 Siasa Kiongozi wa Azimio la umoja nchini Kenya Raila Odinga ametumia usafiri wa umma kwenda kazini huku akizungumza na raia wa
Tanzania na Zambia yakubaliana kuhusu bomba la mafuta July 8, 2023 Biashara Tanzania na Zambia zimekubaliana kuimarisha ulinzi katika eneo ambalo bomba la mafuta linapita katika nchi hizo mbili
Kramo ‘Chuma’ Kipya Msimbazi July 7, 2023 Michezo Klabu ya soka ya Simba imetangaza kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Assec Mimosa, Aubin Kramo kwa mkataba wa miaka
Serikali ya Uganda yafungia tovuti za ngono July 6, 2023 Jamii Serikali nchini Uganda imefungia tovuti zinazorusha maudhui ya ngono kwani yanawaharibu vijana.
Simba yashusha kifaa kutoka Rayon sports July 5, 2023 Michezo Baada ya kukamilisha usajili sasa ni zamu ya kutambulishwa kwa wachezaji waliosajiliwa na tayari Simba wameanza na mchezaji Bora kutoka
Uchaguzi wa kwanza Sudan Kusini kufanyika mwakani July 5, 2023 Siasa Raisi wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema kuwa uchaguzi uliocheleweshwa utafanyika mwakani huku akiahidi kugombea
Raisi wa Kenya aondoa marufuku ya ukataji miti July 3, 2023 Mazingira Raisi wa Kenya William Ruto ameondoa marufuku ya ukataji miti iliyowekwa mwaka 2018.
Kenya: Mapya yaibuka mauaji ya Shakahola May 27, 2023 Uhalifu Waziri wa Mambo ya ndani nchini Kenya amesema mchungaji Mackenzie aliajiri watu kwa ajiri ya kuwauwa waumini wake
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma
Uganda: Afungwa miaka 6 jela kwa kumtukana Rais Afrika, Afrika Mashariki July 11, 2024 Kijana Edward awebwa ahukumiwa miaka 6 jela nchini Uganda, kwa kumtukana rais