Raia 17 wa Ethiopia wakamatwa Manyara Raia 17 wa Ethiopia wakamatwa na Polisi Mkoani Manyara wakielekea Afrika Kusini bila vibali, Jeshi hilo litawakaidhi watu hao kwa Uhamiaji Jamii, Uhalifu, Usafiri April 8, 2024 Soma Zaidi
Uwanja wa ndege wa Mwanza utakuwa wa Kimataifa April 3, 2024 Usafiri Serikali ya Tanzania imeweka wazi mpango wake wa kupanua uwanja wa Ndege wa Mwanza na kuufanya wa Kimataifa.
Simba wapungua kwa 45% nchini Uganda March 27, 2024 Habari, Utalii Waziri wa Utalii nchini Uganda akiri kupungua kwa Simba nchini humo kwa asilimia zaidi 40% kutokana na uhasama baina yao
Maji yaondoa udongo Daraja la Somanga Mtama March 25, 2024 Habari, Jamii, Usafiri Mvua kubwa yasababisha umeguka kwa udongo kwenye karavati Daraja la Somanga Mtama na kuzuia magari kupita shughuli za ukarabati zinaendelea
Bodi ya Utalii yatangaza fursa kanda ya kusini March 19, 2024 Utalii Regrow wawezesha Bodi ya Utalii kuwakutanisha wadau wa Utalii kutoka Ujerumani na wenzao wa kanda ya kusini nchini Tanzania
Saudi Arabia kukuza utalii mpakani mwa Yemen October 14, 2023 Uchumi, Utalii Saudi Arabia kukuza vituo vya utalii katika eneo la Asir na kuongeza uwezo wa uwanja wa ndege wa Abha pamoja
Tanzania kupokea ndege mpya ya masafa ya kati October 2, 2023 Usafiri Serikali ya Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya masafa ya kati kesho tarehe 3 Oktoba 2023 na nyingne za mazoezi
Zanzibar yampa mwekezaji Bandari ya Malindi September 19, 2023 Uchumi, Usafiri Serikali ya Zanzibar imekabidhi shughuli za uendeshwaji wa bandari ya bandari kwa mwekezaji ili kuongeza ufanisi
Sanjay Duty apewa ubalozi wa utalii Tanzania September 19, 2023 Jamii, Utalii Muiigizaji kutoka nchini India Sanjay Dutt amepewa ubalozi wa kuitangaza Tanzania kutokana na ushawishi wake na umashughuli alionao
Rais Samia: Mtwara ndio bandari ya korosho September 17, 2023 Biashara, Habari, Usafiri Rais Samia ataka korosho zote zipitie bandari ya mtwara baada ya ukarabati. Na mpango wa kuongeza bandari ya bidhaa nyingine
ATCL yatangaza ujio wa ndege zingine nchini August 15, 2023 Biashara, Usafiri Shirika la ndege la ATCL limesema mpaka sasa kuna ndege 13 nchini na mpaka kufika 2024 tayari shirika hilo litakua na ndege 16
Milioni 5 tu mnyama kuitwa kwa jina lako July 24, 2023 Utalii Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania Tanapa limeanzisha utaratibu kwa watu wanaotaka wanyama waitwe majina yao kulipia
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma