Rais Samia ateuliwa mjumbe wa bodi ya ushauri GCA Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya ushauri GCA Mazingira, Siasa September 14, 2023 Soma Zaidi
Falme za Kiarabu kuisaidia Afrika mabadiliko tabia ya nchi September 5, 2023 Mazingira Nchi mbalimbali zimetoa ahadi ya kutoa pesa kuisaidia Bara la Afrika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi
Viongozi wa Afrika kutafuta suluhu mabadiliko tabia ya nchi September 4, 2023 Mazingira Viongozi wa Afrika wamekutana nchini Kenya kujadili na kutafuta suluhu juu ya changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi
Charles Hilary atoa ufafanuzi Bagamoyo kumilikiwa na Zanzibar August 7, 2023 Mazingira, Siasa Msemaji Mkuu wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar ametoa ufafanuzi kwanini eneo la Makurunge lilipo Bagamoyo linamilikiwa na serikali ya Zanzibar
Kisa joto, Iran yatoa mapumziko ya siku mbili August 2, 2023 Mazingira Kuongezeka kwa joto nchini Iran kumepelekea serikali kutoa likizo ya siku mbili kwa wafanyakazi wa serikali na wale wa benki
Tahadhari yatolewa hali ya hewa TZ August 1, 2023 Mazingira Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa kwa siku tatu mfululizo kuanzia jumatano
G20 wagomea pendekezo juu ya tabia nchi July 25, 2023 Mazingira Baadhi ya wanachama wa G20 wagomea muswada wa Nishati na hewa ukaa. Pia suala la vita vya Ukraine bado halijakubalika
TMA yatangaza uwepo wa El Nino July 19, 2023 Jamii, Mazingira El Nino inaweza kupiga kuanzia Oktoba amesema Dk. Kantamla Meneja wa Utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania
Bara jipya kupatikana Afrika July 6, 2023 Mazingira, Teknolojia Shirika la Anga la Marekani NASA limeonyesha katika utafiti wake dalili ya kugawanyika mara mbili kwa Bara la Afrika
Raisi wa Kenya aondoa marufuku ya ukataji miti July 3, 2023 Mazingira Raisi wa Kenya William Ruto ameondoa marufuku ya ukataji miti iliyowekwa mwaka 2018.
WMO yasema kutakua na ongezeko la joto duniani May 18, 2023 Mazingira Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO limeeleza kuwa kutakua na ongezeko la joto kwa miaka mitano ijayo
Serikali kusitisha matumizi ya kuni na mkaa. April 13, 2023 Jamii, Mazingira Serikali imetangaza kusitisha matumizi ya kuni na mkaa kwa taasisi binafsi na taasisi za umma ili kudhibiti uharibifu wa mazingira.
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma