Sudan yagomea mkutano wa kutafuta amani Serikali ya Sudan imegoma kushiriki mkutano wa kikanda wa kutafuta amani huku ikiishutumu Kenya kupendelea. Maafa, Siasa July 11, 2023 Soma Zaidi
Uchunguzi unaendelea ‘Hoteli’ nne kuungua Zanzibar July 10, 2023 Jamii, Maafa Kamati ya Ulinzi na usalama ya mkoa wa Kusini Unguja bado inaendelea na uchunguzi kufuatia kuungua kwa 'hoteli' nne na
Boti yenye zaidi ya wahamiaji 200 yapotea July 10, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya watu 200 waliokuwa kwenye mashua wakitokea nchini Senegali hawaonekani walipo kwa zaidi ya wiki sasa.
Shule yaungua Bukoba July 8, 2023 Elimu, Jamii, Maafa Zimamoto mkoani Kagera wamefanikiwa kuzuia Moto usiteketeze shule ya sekondari Istiqama katika manispaa ya Bukoba.
Mvua kubwa zaua 15 China July 6, 2023 Jamii, Maafa Shirika la habari la nchini China limeripoti vifo vya watu 15 na wanne wakiwa hawajulikani walipo kwa sababu ya mvua kubwa.
Bangi yawa tishio Uingereza July 6, 2023 Jamii, Maafa, Uhalifu Polisi nchini Uingereza wamekamata mimea ya Bangi na kukamata genge la wahalifu zaidi ya watu 1000 katika msako mkubwa.
Makazi ya Israel yanakiuka sheria za kimataifa June 27, 2023 Afya, Elimu, Habari, Jamii, Maafa, Siasa Guterres apinga vikali hatua ya Israel kufanya makazi katika ardhi ya Palestina.
TETEMEKO LAPITA MEXICO, MAREKANI IMESALIMIKA June 19, 2023 Afya, Habari, Jamii, Maafa, Uchumi Tetemeko latokea Mexico katika Ghuba ya California, inayopakana na fukwe maarufu ya magharibi nchini marekani.
MAELFU WAATHIRIKA NA KIMBUNGA BRAZIL June 18, 2023 Afya, Habari, Maafa, Uchumi Serikali ya Brazil imetangaza vifo vya watu 11 kutokana na kimbunga katika jimbo la kusini mwa nchi hiyo la Rio
Makubaliano kusitisha mzozo, muda waongezwa Sudan May 30, 2023 Maafa, Siasa Makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Sudan yanatakiwa kuendelea kwa siku saba zaidi
Zaidi ya watu 800 wanalala bila kula May 29, 2023 Jamii, Maafa Zaidi ya watu 800 wanalala bila kula kila siku kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la chakula duniani
Idadi ya vifo yaongezeka Malawi. March 16, 2023 Jamii, Maafa Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Freddy imeongezeka na kufikia 99 upande wa Malawi na kufikia 10 kwa upande
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma