Polisi: Watano wafariki kwa kuchomwa kisu jijini Sydney Polisi jijini Sydney imetoa taarifa ya vifo vya watu watano baada ya kushambuliwa na kisu kwenye moja ya maduka katika eneo la westfield Jamii, Maafa, Uhalifu April 12, 2024 Soma Zaidi
Bwawa sio sababu ya Mafuriko Rufiji na Kibiti April 11, 2024 Habari, Jamii, Maafa Shirika la umeme TANESCO limekanusha kuwa Bwawa la Nyerere ndio sababu ya Mafuriko ya Rufiji na Kibiti.
Shule ya Kivukoni A Ulanga yafungwa sababu ya mafuriko April 9, 2024 Jamii, Maafa, Usafiri Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt. Julius Ningu asimamisha masomo shule ya Msingi Kivukoni A kutokana na shule hiyo kujaa
15 wafa maji kutokana na mvua zinazoendelea April 8, 2024 Maafa Takriban vifo 15 vimetokea nchini kutokana na mvua zinazoendelea maeneo mbalimbali nchini, 12 vikiwa vya watoto na vitatu watu wazima
Watoa misaada Gaza washambuliwa na Israeli April 2, 2024 Maafa Shirika la World Central Kitchen Gaza limeshambuliwa na moja ya vikosi vinavyohisiwa kuwa ni vya Israeli na watu kadhaa wamefariki
Liberia: Wafariki baada ya mgodi kuporomoka March 27, 2024 Maafa, Madini wachimbaji waangukiwa na kifusi cha mgodi kusini mwa Liberia katika jimbo la River Cess na kusababisha vifo kadhaa.
Miili ya waliofariki Shakahola kukabidhiwa kwa familia zao March 27, 2024 Habari, Jamii, Maafa Miili ya watu waliofariki katika msitu wa Shakahola wakabidhiwa kwa wanafamilia kwa ajili ya mazishi baada ya muda mrefu wa
NIGERIA: Zaidi ya wanafunzi 130 waliotekwa wameokolewa March 25, 2024 Jamii, Maafa, Siasa Wanafunzi 136 waliotekwa mwezi uliopita waokolewa na majeshi ya Nigeria katika mji wa Zamfara karibu na Kaduna bila majeraha.
Utata wa wahusika shambulizi la ukumbi Moscow March 25, 2024 Maafa, Uhalifu Urusi inapeperusha bendera nusu mlingoti, huku ikizozana na Media za magharibi juu ya nani amehusika na shambulio la ukumbi wa
Watu 60 wamekufa shambulizi la Moscow March 23, 2024 Maafa Shambulio la ukumbi wa Tamasha la Picnic nchini Urusi katika mji wa Moscow limesababisha vifo takriban 60, zimesema taarifa kutoka FSB
Maelfu waathirika na mafuriko kilosa March 22, 2024 Maafa Zaidi ya watu elfu moja na mia nne wameathirika kwa namna moja au nyingine wilayani kilosa baada ya mvua kunyesha
Haiti: Majina ya Baraza la mpito yawasilishwa March 20, 2024 Jamii, Maafa, Siasa Baada ya CARICOM kuingilia kati fujo za Haiti, leo wamefanikiwa kuwasilisha majina ya wateule baraza la mpito, huku Pitit Desalin