ZINAZOVUMA:

Kitaifa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Chama cha Wataalamu wa Kiislamu TAMPRO kimefanya mkutano wake mkuu wa mwaka 2023 kwa mafanikio makubwa ambapo wanachama Zaidi ya 300 walishiriki.
Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa anatarajiwa kuagwa katika viwanja viwili vikubwa kikiwemo cha Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na
Mufti ametoa wito kwa watanzania wenye sifa wakiwemo maimam,walimu wa madrasa na makhatibu kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi 200 za
Kiwanda cha sukari cha Mkulazi chaanza uzalishaji, na kimeazimia kuzalisha sukari ya viwandani ili kupunguza uagizwaji wa sukari hiyo

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya