Marekani yaingiza nchini mchele wenye virutubisho Marekani yaingiza nchini mchele na majaragwe yaliyoongezwa virutubisho kwa shule mbalimbali za mkoani Dodoma Afya, Biashara, Kilimo March 15, 2024 Soma Zaidi
Kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria yakoshwa na ujenzi wa kituo jumuishi cha utoaji haki March 14, 2024 Jamii, Siasa Kamati ya kudumu ya Bunge ya utawala, Katiba na Sheria, imesema Rais Samia Suluhu Hassan amesogeza nyezo na miundombinu ya
Airport terminal 2 Zanzibar yashinda tuzo ya uwanja bora Afrika March 14, 2024 Biashara, Uchumi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) umeshinda tuzo ya Uwanja Bora wa Ndege Barani Afrika unaotoa
ZAECA kutaifisha mali zote ukikutwa na uhujumu uchumi zanzibar March 14, 2024 Uchumi Mkurugenzi Mkuu ZAECA (ZAECA) Zanzibar Ali Abdallah Ali ,amesema mamlaka iyo iko njiani kurudisha fedha zilizotokana uhalifu
Mwanza: Wanaouza Sukari bei juu wakamatwa February 17, 2024 Biashara Maafia wa Bodi ya Sukari mkoani mwanza wamepita kufanya msako na kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukrai kwa bei ya juu ya
Akamatwa kwa kuvunja Sanamu la Kanisa February 17, 2024 Habari Mkuu wa Wilaya ya Mjini katika Visiwa vya Zanzibar ametoa taarifa ya kukamatwa kwa mtu aliyevunja sanamu katika kanisa la
Wahanga wa tope Hanang kujengewa nyumba February 17, 2024 Maafa Msalaba Mwekundu waunga mkono juhudi za serikali kwa kuongeza kujenga nyumba 35 mbali na zile 101 zinazojengwa na serikali wilayani Hanang
MBOWE: Huwezi kumuacha Lowassa katika historia ya CHADEMA February 17, 2024 Jamii, Siasa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe asema Edward Lowassa ni mkweli na Kada wa CCM, la huwezi kuacha neno CHADEMA katika
Mahakama yaamuru nyumba ya Mbowe kupigwa mnada February 14, 2024 Biashara, Jamii, Siasa MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa
Mkutano Mkuu Tampro wafana, Dkt Dau, Prof Assad watoa ya moyoni February 14, 2024 Jamii Chama cha Wataalamu wa Kiislamu TAMPRO kimefanya mkutano wake mkuu wa mwaka 2023 kwa mafanikio makubwa ambapo wanachama Zaidi ya 300 walishiriki.
Mwili wa Edward Lowassa kuagwa February 13, 2024 Jamii, Siasa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa anatarajiwa kuagwa katika viwanja viwili vikubwa kikiwemo cha Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na
Mwanzilishi wa Telegram akamatwa Ufaransa Ulaya August 25, 2024 Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya
Hitilafu ya mfumo wa Crowdstrike yasimamisha dunia July 19, 2024 Anguko la mfumo wa Crowdstrike umesababisha kapuni nyingi duniani kushindwa kutoa huduma