TCRA: Kumtag mtu picha chafu ni uhalifu Katika mafunzo ya sheria ya uchaguzi kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu Meneja wa TCRA amesema kuwa kumtag mtu picha chafu ni uhalifu Uhalifu April 9, 2024 Soma Zaidi
Monduli: Mbunge aahidi vitanda sekondari ya Oltinga April 9, 2024 Elimu Mbunge wa Monduli Fredirick Lowassa aahidi kutoa vitanda vya bweni la wanafunzi kwa shule ya kwanza ya Kata ya Oltinga
Waziri Mkuu: Azindua Kauli mbiu ya sherehe za Muunganao April 8, 2024 Habari Waziri Mkuu Kassim majaliwa azindua Nembo na Kauli mbiu ya maadhimisho miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
15 wafa maji kutokana na mvua zinazoendelea April 8, 2024 Maafa Takriban vifo 15 vimetokea nchini kutokana na mvua zinazoendelea maeneo mbalimbali nchini, 12 vikiwa vya watoto na vitatu watu wazima
Bashungwa awatimua wataalam wa usimamizi wa Barabara katavi April 8, 2024 Habari Waziri bashungwa awafukuza katika eneo la mradi wa barabara wataalam wa barabara mkoani Katavi baada ya kutokuridhishwa kwa kasi ya
Bado tunaendelea na mradi wa Maji Mabalanga Kilindi April 8, 2024 Afya, Jamii Naibu Waziri wa Maji Mha. Kundo Mathew asema wizara yake bado inaendelea na mradi wa maji Kilindi na upo asilimia 85
Mtoto atolewa sarafu iliyokwama kooni April 4, 2024 Afya, Teknolojia Mtoto wa miaka miwili atolewa sarafu iliyokwama kooni kwa siku sita katika hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Mkoani Dodoma
Geita: Kijana afariki akichimba kaburi March 29, 2024 Habari kijana wa miaka 25 aliyekuwa akichimba kabri mkoani Geita wilaya ya Geita amefariki kwa shinikizo la Moyo.
Dr. Festo: Nataka TAMISEMI mfanye uchunguzi March 29, 2024 Habari Katibu mkuu TAMISEMI aitaka kamati ifanye uchunguzi wa ubora katika mradi ujenzi katika Hospitali Wilaya ya mwanga mkoango Kilimanjaro
TOGO: Upinzani wagomea mabadiliko ya katiba March 28, 2024 Habari Upinzani nchini Togo umekataa mabadiliko ya katiba nchini humo na kutaka Rais Faure Gnassingbé asisaini mabadiliko hayo ya Katiba.
Umeme bwerere yasema TANESCO March 27, 2024 Nishati Shirika la Umeme Tanznaia TANESCO limesema kutokana na uzalishaji wa umeme unaoendelea nchini, tunakokwenda upatikanaji wake upo vizuri
Maji yaondoa udongo Daraja la Somanga Mtama March 25, 2024 Habari, Jamii, Usafiri Mvua kubwa yasababisha umeguka kwa udongo kwenye karavati Daraja la Somanga Mtama na kuzuia magari kupita shughuli za ukarabati zinaendelea