ZINAZOVUMA:

Kitaifa

Taasisi ya Islamic Development Agency kwa kushirikiana na Taasisi ya vijana wa kiislamu TAMSYA wameandaa warsha maalumu ya kuzungumza na vijana waliopo vyuoni.
Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani amevunja bodi ya Shirika la reli nchini.
Muhalifu aliyetoroka nchini Afrika kusini amekamatwa Tanzania na anatarajiwa kurudishwa nchini kwake ili kuendelea kutumikia hukumu yake.
Wazazi na walezi wanatakiwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali ili kupatiwa elimu ya lishe pamoja na huduma muhimu za afya.
Spika wa Bunge Dkt Tulia Akson ataka wanaojitolea kupewa kipaumbele pindi nafasi za ajira zitakapotoka.
"Hakika tungezijua faida na baraka zilizomo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani tungeliomba ikawa ni mwezi mzima"
"Hakika tungezijua faida na baraka zilizomo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani tungeliomba ikawa ni mwezi mzima"
Hii ndio sababu iliyofanya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kuachiwa baada ya kushikiliwa kwa muda mrefu.

Chaguo la Mhariri

Habari Mpya

Mwanzilishi wa Telegram mwenye asili ya kirusi amekamatwa nchini Ufaransa siku ya